Tukiwaambia La Liga ni ligi bora munabisha

Angalieni hapo ndo mtaelewa ligi bora na ikumbukwe msimu uliopita timu za EPL zilicheza fainali kote UEFA na UEROPA final,sasa sijui timu za Laliga zilikuwa wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu bado tu huyo mbilikimo angepewa Balon D' Amor mwaka huu kama mwaka jana pamoja na kutofanya lolote la maana kwa timu yake na timu ya taifa lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…