Tukiwaambia La Liga ni ligi bora munabisha

Mjue timu mbili kubwa za laliga zinamilikiwa na nchi mbili ndani ya nchi moja yaani spain na Catalonia!!!msiseme laliga ni bora sema barca na madrid ndo bora!!peke yao wametawala soka la spain kwa kila kitu na wanapokezana ubingwa kila uchwao!na kila mchezaji bora duniani anataka kwenda barca au madrid sio atletico wala valencia!!!kwasababu ya utajiri uliopo!!!epl inatawaliwa na top six hadi ten!ndo ligi bora kiushindani na kimapato na kiutajiri kwa wote!!!!kuchukua ligi ya mabingwa pekee sio ubora wa ligi hata bayern huchukua lakin bundesliga sio bora!!!MASHABIKI MJUE KUWA TIMU ZINAPOSHINDANA NA BARCA AU MADRID ZINASHINDANA NA NCHI NDANI YA NCHI NA SIO NA VILABU VYA KAWAIDA!!!!
 
Inter kachapwa 2-1 nyumbani kirahisi na Barcelona iliyojaa watoto katika sehemu kubwa ya mchezo wa leo UEFA. Inter sasa kapigwa ndani nje na Barca.

Hapohapo leo ilikua mechi muhimu sana kwa Inter kushinda ili avuke round inayofuata, tunaelezwa Inter ndiyo timu inayokimbiza kwa sasa kule Italy na wanaongoza ligi yao Serie A.

Valencia kamtoa bingwa wa Uholanzi Ajax Amsterdam; Barca tumevuka kitambo, Liver naye kapita wacha tukutane naye mara hii tumuaibishe huyo anayeongoza ligi ya Uingereza, hapo tutahitimisha ile hoja ya La liga ndiyo mambo yote!

View attachment 1288214
Hoja yako haina mashiko huyo Ajax hakumgonga Real Madrid pale Bernabeu goli 4 mpaka wakafukuza na kocha na kumrudisha Zidane umesahauu ee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka juzi UEFA champions kaingia final,mwaka jana kachukua ndoo,mwaka huu liverpool wanachukua UEFA champion na EPL
Wewe acha kuota anayeongoza Epl anaogopwa na kila kocha na kila mchezaji muulize Messi atakwambia Anfield ni kama Jehanam hakuna oxygen kabisa ,hakuna kocha anapenda kupangwa na liverpool narudia hakuna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjue timu mbili kubwa za laliga zinamilikiwa na nchi mbili ndani ya nchi moja yaani spain na Catalonia!!!msiseme laliga ni bora sema barca na madrid ndo bora!!peke yao wametawala soka la spain kwa kila kitu na wanapokezana ubingwa kila uchwao!na kila mchezaji bora duniani anataka kwenda barca au madrid sio atletico wala valencia!!!kwasababu ya utajiri uliopo!!!epl inatawaliwa na top six hadi ten!ndo ligi bora kiushindani na kimapato na kiutajiri kwa wote!!!!kuchukua ligi ya mabingwa pekee sio ubora wa ligi hata bayern huchukua lakin bundesliga sio bora!!!MASHABIKI MJUE KUWA TIMU ZINAPOSHINDANA NA BARCA AU MADRID ZINASHINDANA NA NCHI NDANI YA NCHI NA SIO NA VILABU VYA KAWAIDA!!!!
Umemaliza. Nadhani mleta mada kama atakua bado mbishi itabidi tukakague afya ya akili yake
 
Inter kachapwa 2-1 nyumbani kirahisi na Barcelona iliyojaa watoto katika sehemu kubwa ya mchezo wa leo UEFA. Inter sasa kapigwa ndani nje na Barca.

Hapohapo leo ilikua mechi muhimu sana kwa Inter kushinda ili avuke round inayofuata, tunaelezwa Inter ndiyo timu inayokimbiza kwa sasa kule Italy na wanaongoza ligi yao Serie A.

Valencia kamtoa bingwa wa Uholanzi Ajax Amsterdam; Barca tumevuka kitambo, Liver naye kapita wacha tukutane naye mara hii tumuaibishe huyo anayeongoza ligi ya Uingereza, hapo tutahitimisha ile hoja ya La liga ndiyo mambo yote!

View attachment 1288214
Wewe hujui mpira kaa kimya umendika kama una piga umbea na shosti wako
 
ukitaka uijue ligi bora uliza haya maswali uone watakavyokukimbia..

1) Tangia kuanza kwa karne mpya ya 21(ukitaja nyuma ya hapo utawaonea) klabu kutoka E.P.L zimechukua champions league mara ngapi !?

2) Kuanza kuanza kwa karne ya 21 klabu kutoka spain zimechukua champions league mara ngapi !?

Baada ya hapo utafahamu nani bora na nani maruufu !!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ubora wa ligi si timu mbili au tatu ila ubora wa ligi unaangalia ushindani wa ligi ndani na nje mfano Spain yupo Barcelona na Real Madrid hizi ndiyo timu za miaka yote pale Spain hata wasipochukua ligi lazima wawepo top 4 hutowaona europa ila Epl ukizembea umeliwa yaan hata timu ndogo ziko vizuri kimpira na kiuchumi vile vile ndio maana ni ndoto ya wachezaji wengi kuchezea EPL ila sio ndoto ya wengi kuchezea Laliga bali ni ndogo ya wengi kuchezea Real Madrid au Barcelona,Sasa utaelewa ligi bora ni ipi

Mkuu, ndoto ya kila mchezaji bora ni kucheza ligi bora ya La Liga. Huko EPL na ligi zingine ni daraja la kwenda La Liga.

Taja timu tofauti na Real Madrid na Barcelona ambapo mtu anaweza kwenda kucheza, EPL zipo Chelsea,Man City,Arsenal,Liverpool,Man UTD na Tottenham pia hata hao nliowaacha ni vilabu vinavyomiliki wachezaji ghali na wanaweza kuzitunishia timu kubwa kumlinda mchezaji wao kuondoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom