Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Wapinzani wake walikuwaje?Tyson alikuwa akishinda kabla ya raundi ya kwanza kwisha
Unasema sasa angalau uangalie boxing isiyo na maigizo walau uenjoy ndo kabisa inakutia kichefuchefu.Mwakinyo ni mjanja mjanja, kila kitu anataka afanye yeye, kuna mabondia ukimchagulia hataki anataka achague mwenyewe, ndo anatuletea wazee kabla ya hili pambano alicheza na yule babu wa ghana, leo babu wa nigeria
Hamna kitu hapo vile wabongo hatupendi kuambizana ukweli.Nina jamaa yng yupo Abuja anasema huyo bondia hamna kitu humo ,,
Ni Mandonga wa Nigeria.
Nimekutana na jamaa wanaangalia kwenye simu online youtube mara nasikia wanasema round ya pili gemu imeishaaa aaaha ili pambano limeuzwa hakuna kabisa hili pambano limeuzwa.. nikacheka sanaWapinzani wake walikuwaje?
Huyu kikongwe unaona ni sahihi kupigana na mwakinyo?
Mkuu ukifanya vizuri pasina shaka utasifiwa tu.
Issue sio round ya2 mkuu. Kwanza mpinzani ni kikongweNimekutana na jamaa wanaangalia kwenye simu online youtube mara nasikia wanasema round ya pili gemu imeishaaa aaaha ili pambano limeuzwa hakuna kabisa hili pambano limeuzwa.. nikacheka sana
Hahaha kwa hio Mwakinyo apigane na nani Kiduku?Issue sio round ya2 mkuu. Kwanza mpinzani ni kikongwe
Yaani tangu mwanzo tu nilijua hapa hakuna mpiganaji ni Madonna aliye changamka tu.
Ifike mahali tuambizane ukweli asee hapakuwa na bondia wa ukweli pale.
Ameshaapa kuwa haweziHahaha kwa hio Mwakinyo apigane na nani Kiduku?
Kwanza hiyo mpinzaninwake ni boxer? au ameokotwa ilorin na kuletwa,na kakatiwa chakeNimesema nisilale niangalie Afcon na Ngumi.
Kumbe mavi ya nyoka tu. Ngumi gani za hivi? Ushindi gani round ya2 mdebwedo. Nikanywe Bia.
Maelekezo. Bondia gani anajichagulia mpinzani?Kwanza hiyo mpinzaninwake ni boxer? au ameokotwa ilorin na kuletwa,na kakatiwa chake
Kwenye ulimwengu wa boxing bado upo primitive dunia ya 3Maelekezo. Bondia gani anajichagulia mpinzani?
Kivyovyote utakapo niweka mkuu. Huyu si mwakinyo wenu si ameshaombwa wazipige na Twaha kiduku amekubali lini?Kwenye ulimwengu wa boxing bado upo primitive dunia ya 3
Kivyovyote utakapo niweka mkuu. Huyu si mwakinyo wenu si ameshaombwa wazipige na Twaha kiduku amekubali lini?
Hivi ni sahihi kujichagulia mpinzani dhaifu kikongwe?