Tunawasoma watu maarufu waliopingana na uonevu wa wakoloni wakatuletea ukumbozi. Waliofanya hayo walianza kwenye sanduku la kura 1958 na 1961 wakaingia ikulu na mzungu akafungasha virago.
Toka 1961 Hadi leo kwanini tunawakumbuka na kuwashukuru? Ni kwa sababu watu waliamua kutotawaliwa, kuminywa haki zao na mateso mbalimbali
Leo 2020 tunapaswa kuandika historia tuwaachie watoto wetu historia, tufanye maamuzi ya kuifuta ccm tuanze upya maisha yetu.
Uchaguzi Ni fursa ya ajira kwa wasio na ajira, Ni fursa ya biashara na fursa yakutengeneza watu wapya tunaoweza kuwasimamia. Leo chama Tawala hakifanyi kampeni kwa juhudi na ratiba ya tume kwa sababu hawaoni umuhimu wetu.
Kama hawaoni umuhimu wetu sisi tunawaonaje wa muhimu kwetu? Wapo waliofadhili kampeni 2015 wapo segerea bila kesi kusikilizwa, wapo watumishi wa Umma walikua ccm kindakindaki wapo benchi na pressure juu. Tunapaswa kuchagua utawala wa sheria.
Tuamue bila kujali chama tujali Uhuru wetu wakujitawala.
Mzee baba alieadhalilisha sana watu hawa
Nape nauye
Huyu mtu amepigania sana chama lakini ametupwa mtama kama dustbin
Mzee kinana pamoja na kukijenga chama lakini anaonekana kama skrepa
Mzee kikwete katika utawala huu ameshushwa sana dhamani kama hakufanya kitu chochote kile na akaonekana wa hivyo hovyo kabisa
Mzee makamba senior na junior nao wanaonekana takataka
Niwasihi sana wazee hawa Tundu lissu hawezi kuwa na nia mbaya na hii nchi yetu nanyi mnajua ila bado ninyi mtakuwa washauri wake wakubwa kwa mambo ya ki diplomasia ili kuitengeneza hii nchi. Hivi kweli msiba wa kuwatukana viongozi wa nchi alafu hachukuliwi hatua? Utu wetu upo wapi?
Freedom,justice and development of the people
Uhuru, haki na maendeleo ya watu.
Nimegundua utumwa ukiota mizizi mwisho watumwa wanakuwa mazezeta.
Ukimsikiliza lisu hatoi ahadi yeyote ile
Anataka watu wayafanye wenyewe yaani wawe na Total freedom of choice
Serikali ya Majimbo
Ili wawe na maamuzi kamili na mpango mkakati wao.
Na anapita katika ile rasimu ya katiba ya warioba ili kuleta mawazo ya wananchi waliyoyataka.