Uchaguzi 2020 Tukiwanyima CCM kura tutaingia kwenye kitabu cha Historia ya Ukombozi

Tunawasoma watu maarufu waliopingana na uonevu wa wakoloni wakatuletea ukumbozi. Waliofanya hayo walianza kwenye sanduku la kura 1958 na 1961 wakaingia ikulu na mzungu akafungasha virago...
No kweli historia ya kuuza nchi kwa "mabeberu" usifanye mchezo Mwenyekiti wa Maisha alivyowekeza, hela yake lazima irudi na faida juu
 
Umeona nyomi za Lisu kote anakopita mpk kwa dada zake na jiwe (a.k.a nyoko) mfano Chato, Lamadi, Bariadi,. Simiyu, Mwanza, n.k.

Hii Ni ishara kwamba huyu nyoko hastahili heshima. Amelinajisi taifa.
Ok sasa subiri watanzania watakavyofanya tarehe 28, hapo ndipo utagundua kweli kachumbari si mboga kabisa...ila usikimbie..happ ndipo utajua true color ya watanzania wewe.
 
Fanyen Mapinduzi kwa Mbowe kwanza maana chama kimeshakuwa chake
 
Tukishindwa.........tutafunga hata goli la mkono


CCM haiwez shndwa
Mwaka huu mazingira Ni tofauti Sana mkuu. Goli la mkono halina nafasi.
Hata wakoloni wa mwanzo, muda wao ulipoisha waliondoka hata kama hawakupenda
 
Kuanzia uchaguzi wa 2010, 2015 zote ccm ilipigwa chini kwa nafasi ya Urais. Kwa chaguzi hizo wagombea wa chadema system haikuwa tayar kuwapa nchi.

Mwaka huu atakaeshinda atatangazwa.
 

Mzee baba alieadhalilisha sana watu hawa
Nape nauye
Huyu mtu amepigania sana chama lakini ametupwa mtama kama dustbin

Mzee kinana pamoja na kukijenga chama lakini anaonekana kama skrepa

Mzee kikwete katika utawala huu ameshushwa sana dhamani kama hakufanya kitu chochote kile na akaonekana wa hivyo hovyo kabisa

Mzee makamba senior na junior nao wanaonekana takataka

Niwasihi sana wazee hawa Tundu lissu hawezi kuwa na nia mbaya na hii nchi yetu nanyi mnajua ila bado ninyi mtakuwa washauri wake wakubwa kwa mambo ya ki diplomasia ili kuitengeneza hii nchi. Hivi kweli msiba wa kuwatukana viongozi wa nchi alafu hachukuliwi hatua? Utu wetu upo wapi?


Freedom,justice and development of the people
Uhuru, haki na maendeleo ya watu.

Nimegundua utumwa ukiota mizizi mwisho watumwa wanakuwa mazezeta.

Ukimsikiliza lisu hatoi ahadi yeyote ile
Anataka watu wayafanye wenyewe yaani wawe na Total freedom of choice

Serikali ya Majimbo
Ili wawe na maamuzi kamili na mpango mkakati wao.

Na anapita katika ile rasimu ya katiba ya warioba ili kuleta mawazo ya wananchi waliyoyataka.
 
Ok sasa subiri watanzania watakavyofanya tarehe 28, hapo ndipo utagundua kweli kachumbari si mboga kabisa...ila usikimbie..happ ndipo utajua true color ya watanzania wewe.
Basi nawe jiandaye. Kwasabb jiwe wamempania Sana. Alitoaga maneno ya shombo kwamba ooh "mimi ni rais ninayejiamini". Msikilize hapa.
Your browser is not able to display this video.
 
Mwaka huu mazingira Ni tofauti Sana mkuu. Goli la mkono halina nafasi.
Hata wakoloni wa mwanzo, muda wao ulipoisha waliondoka hata kama hawakupenda
Endelea kuota mkuu, ukiamka utajionea CCM ni nini apa Afrika
 
KANU kule Kenya walikuwa na mawazo mganndo kama wewe. Leo hii haipo kwenye ramani ya dunia.
Hahah siasa mchezo mdjddjsfu, ata ikiingia upinzani itakuwa ni ile ilee CMCM, Kenya is a good example, go do ur research well mkuu😂
 
Nakazia, mwenyekiti wa maishahahahahaha
No kweli historia ya kuuza nchi kwa "mabeberu" usifanye mchezo Mwenyekiti wa Maisha alivyowekeza, hela yake lazima irudi na faida juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…