Tukiwatoa wasanii 10 wenye mafanikio kimziki, waliobaki wengi huishi kwa misaada ya familia, kupewa ofa, mashuga mami, kudanga na kupiga dili nyeusi

Tukiwatoa wasanii 10 wenye mafanikio kimziki, waliobaki wengi huishi kwa misaada ya familia, kupewa ofa, mashuga mami, kudanga na kupiga dili nyeusi

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Na huo ndio ukweli, tukiwatoa wasanii wale 10 wenye mafanikio ni wachache sana waliobaki kama kina shilole mwenye shishi food na young dee mwenye kibaa chake wanaweza kujitegemea kiuchumi.

Wasanii wengi huishi kwa misaada ya familia, ofa, kulelewa na mashuga mami, kudanga mapedeshee na mishe nyeusi ambazo pigo moja unakunja kitita.
 
Ambao hawajafanikiwa ndiyo wana maisha mazuri kushinda hao unaowaona kama wanazo..
 
Back
Top Bottom