ni wa kupongezwa nae ila hali yake ni tofauti kidogo, kwao ni wa kishua +, mama yake yupo bandarinii mzee wake mfanyabiashara mkubwa tu ...
Mama yake sio kibosile kihivyo. Dogo amefanikiwa kwa njia alizopitia pia ana elimu ukilinganisha na wengini wa kupongezwa nae ila hali yake ni tofauti kidogo, kwao ni wa kishua +, mama yake yupo bandarinii mzee wake mfanyabiashara mkubwa tu ...
Huwa nawashangaa sana wanaomuita wa kishua, inaoneka hawamfahamu kabisa.Mama yake sio kibosile kihivyo. Dogo amefanikiwa kwa njia alizopitia pia ana elimu ukilinganisha na wengi
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app