Tuko Live - Chozi la Pinda na utawala wa Tanzania

Tuko Live - Chozi la Pinda na utawala wa Tanzania

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
karibu mpendwa msikilizaji kutusikiliza live, burudani, soga n.k! BONYEZA KUTUSIKILIZA LIVE

Utaweza kutupigia simu baada ya saa moja hivi na kuzungumza nami live kuhusu yaliyotokea Bungeni wiki iliyopita na mtazamo wako kuhusu mwelekeo wa taifa letu katika utamaduni wa kuboronga na misamaha!
 
Back
Top Bottom