rodgers123
Senior Member
- Jul 12, 2015
- 180
- 152
Ndugu Watanzania,
Nimekuwa nikifatilia mitandao ya kijamii hasa Tanzania.
Naona serikali yetu imejisahau kuweka sheria za mtu au kikundi chochote kinachofanya Cyber-bullying kwa mtu au jamii fulani.
Sasa hivi kwenye jamii yetu watu kutukanana kwenye mitandao au kuitana majina kama "Panya" au kuandika na ku-post
vitu ambayo vinamlenga mtu na jamii.
Maana ya Cyber-bullying:
-Ni watu au kikundi cha watu kutumia njia ya social medial kutukana watu, kuongelea watu ubaya wa nia ya kumuumiza kisaikojojia.
Kiukweli kwenye nchi za watu wamewea sheria kali kwani bullying imesababisha watu kujiua au imeweza kufanya hata watu kuuwana.
Sasa bila serikali kuweka sheria naona Watanzania wengi wataadhirika na hii cyberbullying.
Ni maoni yangu tuu najua kama kuna wahusika wao wanajua zaidi.
www.unicef.org

Cyberbullying: What is it and how to stop it
What teens want to know about cyberbullying
What is cyberbullying?
Cyber bullying is bullying with the use of digital technologies. It can take place on social media, messaging platforms, gaming platforms and mobile phones. It is repeated behaviour, aimed at scaring, angering or shaming those who are targeted. Examples include:- Spreading lies about or posting embarrassing photos of someone on social media
- Sending hurtful messages or threats via messaging platforms
- Impersonating someone and sending mean messages to others on their behalf