DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
hakuna kama messi.
Kama alikuwa kilaza aliwezaje kutwaa kombe la dunia mara tatu? Hao kina messi walishatwaa mara ngapi ? Kwasababu wao wanacheza ulaya?
Kitu walichoangalia kwenye hili ni kwa sababu Argentina walifanya kampeni kubwa na kura zake karibia zote zilitoka kwao whilst kura za Pele zilikuwa world wide. Ukitoa kura zilizopigwa ndani ya mataifa yao(Brazil & Argentina) Pele alipata kura nyingi zaidi ya Maradona. Issue ya kucheza ligi za Ulaya nadhani haina mashiko kwa kuwa nyota wote wa Dunia walikuwa wakikutana kwenye World cup na utofauti wa viwango ulikuwa ukijidhihirisha wazi. Kila mtu anahaki ya kuwa na mitazamo yake lakini pale linapokuja suala la statistics nadhani uwanja wa mabishano haufai kuendeshwa kiushabiki. Kuna watu huwa wanakimbilia kusema mchezaji nyota fulani anavuma kwa sababu anacheza kwenye ligi isiyo na ushindani,sasa kwakuwa nyota karibu wote wa Dunia wanacheza ligi za Ulaya hivyo kipimo kizuri ni ligi ya mabingwa Ulaya.Nonsense! Pele mwenyewe hajawahi kucheza soka ulaya. Kwa ubora wake alitakiwa angalao avae hata jezi za sporting lisbon au hata porto achilia mbali Barcelona na Real Madrid. Hajakutana na mabeki wenye roho mbaya kama Nigel de Jong au Frank Lebouf. Yeye alikuwa anapiga watu chenga wanamwachia tu.
Btw kwa mujibu wa matokeo ya kumtafuta mchezaji bora wa karne aliyeibuka mshindi sio pele. Hapa aliibuka Diego Armando Maradona. Fifa kwa fitna zao wakasema tuzo wapewe wote Maradona na Pele. Kwa madai kwamba Maradona ndani ya uwanja kwwli alikuwa nyoko ila nje ya uwanja alikuwa ni mtovu wa nidhamu mla madawa nk
Wakati wakikabidhiwa tuzo Maradona alisema NIPO HAPA KUPOKEA TUZO HII NILIOPEWA NA WAPENDA SOKA KOTE ULIMWENGUNI, NA SIPO TAYARI KUSHEA NA MTU MWINGINE. HII NI YANGU PELE MTAFUTIENI YA KWAKE.
They are brainwashed unaweza kuta mtu anamsifia gaucho alfu hana evidence zaidi ya kusema yule noma alikuwa ana entertain kumbe pumba tupuMkuu Yeth! Wabongo wengi nimegundua wanaangalia jina la mchezaji na sio kipaji.
They are brainwashed unaweza kuta mtu anamsifia gaucho alfu hana evidence zaidi ya kusema yule noma alikuwa ana entertain kumbe pumba tupu
Hata kwa Maradona Messi hafiki. Messi achukue kombe la dunia na Argentina ndipo awasogelee hao nagwiji wa soka.
Neymar alifananishwa na PeleNaomba kujua kama tangu ujue soka hasa la majuu. Ulishawahi kusikia mchezaji yeyote nafananishwa na Pele?
Utasikia. New Maradona
New Christiano Ronaldo
New Gaucho nk
Huwezi kusikia new pele...
Pele alikuwa bora kwa kila kituWingi wa makombe
Pele 36
Messi 25
Gaucho 18
Màradona 12
HakikaPele alikuwa bora kwa kila kitu
Akiwa na miaka 17 tu anaibebesha brazil kombe la dunia 1958 tena akifunga bao 2 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya sweeden
Pele ni babaMessi mbona anazidiwa hata na kijana ronaldinho gaucho. Pelle wa kwanza ila gaucho huwa akipita mtaani anaitwa ball dancer
Halafu yupo yule Pelle wa Italy sasa hivi anakipiga China.Neymar alifananishwa na Pele