Tukubali au tukatae, wake zetu huliwa nje ya ndoa

sasa ndugu yangu yaani ugonge kabao kamoja tena kwa tabu sana kwa mwezi mara mbili, kabao kenyewe sekunde 20 demu asiende kutafuta wa kumsugua vizur nje kweli?

anyway, hicho ni kibwagizo tu ndugu mtoa hoja 🐒

Wanandoa,
kumbuka mnakula vizuri sana, mnalala na kupumzika pazuri na vya kutosha hiyo energy mnayogain inachochea mwili kuzalisha homone za kuhitaji sex ya nguvu 🐒

Pole sana wanaume,
wengi kwenye ndoa wanamaradhi mathalani sukari, shinikizo la damu, stress n.k vitu ambavyo vinatatiza uzalishaji wa homone za kutosha na kumpelekea awe na hamu na mbususu 🐒

Lakini for sure wake za watu wengi tunawatafuna sana kirahisi mtaani kuanzia mida ya saa3 had saa7 mchana wanarudi home mapema..
Wanadai hiyo kitu mwingine anasema mwezi wa 3 hajaiona mwingine wiki ya 4 , mwingine anasema anafanywa na vidole tu malalamiko ni mengi...


kwa hayo machache na mengi naunga mkono hoja, 🐒
 
Kataa Ndoa
 
Daah hapa unazidi kuwauzi wazee wa kataa ndoa..wanapigilia nyundo kabisa msemo wao..KATAA NDOA ENJOY MAISHA ALONE
 
Hii imeenda aisee 🤣🤣🤣
 
Umepiga mkuu....usitake wako akiliwa nje basi na wetu waliwe.

Pole sana yaliyokukuta
hii ndio shida kubwa ya binadamu,unapotaka kutoa uelewa wako juu ya somo fulani,ngulumbili hukimbilia kusema pole yaliyokusibu bila hata kufikirisha akili japo kidogo kujua ni kipi kimeandikwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…