Tukubali: Kucha ndefu ni uchafu

Tukubali: Kucha ndefu ni uchafu

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Hasa kwa kina dada, nani aliye waloga kwamba kucha ndefu ni urembo?

Pia makucha ya bandia ndio kabisa ni uchafu.

Wapo watakao pinga wanaume kwa wanawake.
FB_IMG_1577463476326.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia usisahau nywele kwapani na kule Makao Makuu Amazon
 
Kucha ndefu ni kucha na uchafu ni uchafu ila kucha ndefu sana mi zinanikera naona kama mchawi wa muvi flani hivi ya kibongo mchawi makucha marefu akija kuwanga anavua viatu kwenye kapeti ananyatia kama anataka kukufanyia surprise
 
Back
Top Bottom