Tukubali: Kucha ndefu ni uchafu

Tukubali: Kucha ndefu ni uchafu

Kwa hii logic Bas hakuna kitu kichafu,,,utasema hata m*vi ni m*vi na uchafu ni uchafu
Kinyesi sio uchafu kama yakiwa ndani ya mwili ila yakitolewa yakawekwa sehemu isiyostahili kuwepo ndo yanahesabika kuwa uchafu pia kucha ni hivyo hivyo zinabaki kuwa kucha hadi pale zitapokatwa na kuwekwa sehemu isiyo sahihi kwake kukaa.
 
Kucha ndefu ni kucha na uchafu ni uchafu ila kucha ndefu sana mi zinanikera naona kama mchawi wa muvi flani hivi ya kibongo mchawi makucha marefu akija kuwanga anavua viatu kwenye kapeti ananyatia kama anataka kukufanyia surprise
Duuh! Iv inatokea unahudumiwa chakula na mtu mwenye hayo makucha na unakubaliana nae kwa mujibu wa comment yako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa haraka haraka unaweza sema ni mwewe! Wadada kuweni natural mbona mnapendeza tu kuliko kujiweka artificial kwa kila kitu mpaka mnapoteza utamu. Unakuta mdada kucha, makalio, ngozi, hips, nyusi n.k. ni artificial (mchina) mwisho wa siku hata papuchi mtaweka za Kichina.
 
Bas bwana ndo hivo...umesema?? M*vip sio uchafu yakiwa ndani? Mbona bado kwenye biolojia yanaitwa waste product
Biolojia gani inayosema m*vi ni waste product..?,
Kwani biolojia ya sikuizi Iko modified ama.?
 
Back
Top Bottom