Tukubali Liverpool msimu wa 2019/2020 gari limewaka hakuna wakumzuia

Ladder 49

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
7,918
Reaction score
20,037
Wakuu Habari zenu?,

Wakuu kwa wale ambao awaangalii mechi za Liverpool ni vizuri nikakupa taarifa maana naona watu hawaangalii mechi za Liverpool halafu wanapiga kelele tu ooho liverpool hawachukui ubingwa wa epl msimu wa 2019/2020, ooho Liverpool watafungwa december /January.wamebaki na akili zao za miaka yote hawa Liverpool kawaida yao.

Ni Vizuri angalia hizo mechi za liverpool linganisha na timu unayoipenda utaona utofauti na hauwezi kusema liverpool achukui ubingwa wa epl,liverpool wanapambana sana uwanjani muda wote aijalishi wako ugenini au nyumbani.na inaonesha kabisa hawa ubingwa wanautaka kiukweli kweli Safari hii.

Liverpool Baada ya kutoka kwenye club bingwa dunia wameimalika sana yaani mpira wanaocheza ni kama wa play station ule wa kwenye game.tuache mazoea mpira wanaupiga mwingi sana.ndio maana mpaka sasa kwenye ligi mechi 21 ka droo mechi 1,ushindi mechi zote 20.

mpaka sasa kwenye epl mechi 6 za nyuma Baada ya mechi ya leo na spurs zote wametoka na clean sheet yaani wavu wao aukuguswa.nawakati kabla ya hapo walicheza mechi 15 clean sheet 2.kule club bingwa dunia imewapa kujiamini,kupambana na kurekebisha mapungufu yao.

Kwa mpira wanao cheza sasa hivi hapo epl timu ya kuwafunga labda itoke sayari ya mars au pluto ,sio tu kuwa funga mechi bali ni kuwafunga goli tu moja nikazi sana mpaka sasa mechi sita za mwisho hawajaruhusu wavu wao kuguswa,sio kawaida kwa kipindi hiki kigumu cha December/January,ukiangalia kwa wapinzani mfano leicester city ,mfungaji bora wa epl mpaka sasa jamie vardy mechi ya nne sasa mfulululizo anashindwa kuona nyavu(kama nimekosea hapo nilekebishwe)

Mchezaji wa aston villa grealish alikili adharani akisema“ukiondoa liverpool timu zote zinafungika kwenye ligi” aliongea mapema sana, maana kwa upande wake alijionea mapema kabisa.

Liverpool sehemu ya ulizi wao umeimalika sana Baada ya pale nyuma vvd kuwa na joe gomez.joe gomez amekuwa kisiki yaani goli alifungwi anakaba hadi kivuli na hata shot on target walizopigiwa zimepungua kwa Liverpool kwa mujibu wa takwimu.wanao angalia mechi za Liverpool wananielewa hapo kwa joe gomez.wewe ambae haufatilii mechi za Liverpool hautanielewa maana unaishi kwa mazoea ,joe gomez ndio nani? Mpira sio majina ya wachezaji na kununua wachezaji kwa pesa nyingi.

Msimu 2019/2020 ulivyoanza alisajiriwa goli kipA adrian akitokea westham free,maana aliachwa na westham anawaza nitafanyaje mara Liverpool hao wanampigia simu wanamtaka.kikosi chao Liverpool hawakusajiri zaidi ya huyo golikipa namba mbili na madogo mmoja miaka 17 na mwingine miaka 16 kutoka fulham iliyoshuka daraja .

mashabiki walilamika maana timu zingine zinAsajiri kwa fujo klopp yupo kimya.

Kutokusajiri imewasaidia sana maana kile kikosi kilichomaliza kwenye ligi na kufungwa mechi moja tu na man city msimu wa 2018/2019 ndio hicho hicho cha msimu huu wa 2019/2020 kwa hiyo wachezaji wamezoeana sana,na ata mashabiki pia wamekizoea wanauwezo wakapanga leo anacheza nani na nani na kweli ikawa hivyo.

mpira umebadiliKa klopp anawashangaza watu huko na wachezaji wake wa bei rahisi wale wa kushuka daraja yeye ndio anawachukua.na wakati sisi tulikuwa tunawaona hawana uwezo.

Kwa mtu anayejua mpira hii Liverpool hakuna timu ya kumfunga pale epl kwa sasa msimu wa 2019/2020.msimu ulipita alifungwa mechi moja na man city tu ,msimu huu kwanini asishinde mechi zote? Na kikosi kimebaki vile vile.wasiwasi ulikuwa tu kwa timu zilizopanda daraja ndio zingemsumbua lakini zote mdebwedo tu.

Watu watapiga kelele mwisho wa Siku wataona Aibu watakaa kimya.

wale wapenda soka nilikuwa tu nawajulisha tusiongopeane hapa Liverpool wanauwezo mkubwa sana kwa sasa hiyo timu yao imetengenezwa zaidi ya misimu 3 sasa.tuache kuishi kwa mazoea na kuangalia mechi kwenye LiveScore na kuwaongopea watu.mwishoni hapo nimeweka mechi zote za Liverpool alizocheza mpaka leo .ni hayo tu wakuu.

IMG_7394.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
View attachment 1320306

Sent from my iPhone using JamiiForums
Uzi wako ulitosha kuwa comment kwenye official thread ya liver
 
leo nilienda kwa fundi Hamisi kuangalia suti yangu ntakayoivaa siku the reds tukikabidhiwa kombe letu la 19

kilichoniudh fund Kaweka (vishikizo) visitiri vikubwa nimemwambia abadilishe aweke vidogo

najua wengi mtachukia msioipenda liverpool hii suti nitaifungulia uzi wake kuwapa updates imefikia wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
,,👌👌utarogwaa b0ss,,,
 
Ikitoka utamu wa kufanya mapenzi, kinachofata ni utamu wa kuiangalia Liverpool ikicheza.

Toka dunia imeumbwa, kwenye ligi 5 kubwa duniani, Liverpool ni timu pekee iliyoweza kukusanya points nyingi sana ndani ya michezo 21 ya mwanzo.

Na kadri tutakavyokuwa tunashinda mechi zinazofata ndivyo tutazidi kuweka record ambayo haitakaa ivunjwe mpaka kizazi hiki kipotee.

Nachoweza kuwashauri watu, ni kuiangalia hii Liverpool ikiweka history. Tusije kukosa cha kusimulia wajukuu zetu, maana watakuwa wanaona kwenye mitandao hivyo watataka kupata experience kwa sisi tukioona live.

Screenshot_20200112-082458_Instagram.jpg
 
View attachment 1321428
+VAR kumbuka hilo
 
leo nilienda kwa fundi Hamisi kuangalia suti yangu ntakayoivaa siku the reds tukikabidhiwa kombe letu la 19

kilichoniudh fund Kaweka (vishikizo) visitiri vikubwa nimemwambia abadilishe aweke vidogo

najua wengi mtachukia msioipenda liverpool hii suti nitaifungulia uzi wake kuwapa updates imefikia wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
Naendelea kuwapa updates ya suti yangu

Leo fundi kaanza kuweka mifuko ya mbele na mimeendelea kumsisitza mda unakaribia Wa mm kuivaa hasa mwez machi baada ya mkatalunya pep kunihakikishia Jana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom