Tukubali tu: Sisi wajinga... (I know, it hurts)

Kuna kitu kimebadilika?
Nop!! Bado tunapambana kutafuta wafadhili watakaoleta wawekezaji wageni wenye hela za kuwalipa wakandarasi wageni ili watusaidie kuchimba mitaro ya maji taka kwa mkopo tulioomba ugenini,hilo likifanikiwa tutapiga hatua kubwa,kwani mafundi wa kigeni watakuja na kutupa kazi ya kuchimba mitaro na kufukia mabomba,mungu atupe nini tena?
 
Yaani mnapewa mkopo toka je halafu pesa yote inarudi nje kupitia makontŕactà wa nje na wananunua vifaa toka nje mwisho wa siku mnarudisha mkopo na riba huko nje!! Halafu huu ni utaratibu wa kudumu!! Huu ujinga na upumbavu utaendelea hi j mpaka lini?
 
Miaka 13 iliyopita bado tuko palepale. Na hoja zenu zinanguvu sana sana.

Hii ni aibu kubwa sana kwa watawala hasa CCM.

#UziUrudiwe
 
 
Acha tu...
Mkiona majengo ya kifahari, watoto kusomeshwa nje, matibabu nje ya nchi, magari ya kifahari ya nje ya uwezo wao, inflated prices in goods at certain markets and shops, kuwalinda kina LUGUMI, nk nk. Mjuwe kuna watu wanafaidika na huu uhujumi uchumi!
 
CCM na madalali wao buku 7 hawawezi ku-comment kuhusu hii thread kwa sababu hawajui nadharia yoyote ya uchumi. Kama yule Lucas Mwashambwa mkulima wa Inyala Mbeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…