Kamanda MKJJ:Sasa ujinga huondoka; hivyo tusijisikie vibaya kwani katika kutambua ujinga wetu ndivyo tunavyotambua ni jinsi gani tunahitaji kujua zaidi (yaani kuondoa ujinga).
Nakumbuka vijitabu vya mfululizo wa "Ujinga wa Mwafrika", vilikuwa vinatumiwa sana na kina David Wakati na Khalid Ponera katika mazungumzo baada ya habari; lakini baadaye vilipigwa marufuku.
Nadhani wakati umefika wa kuvirudisha au nitaanzisha makala ya "ujinga wa Mtanzania"..
KM, sasa tulipowakabidhi wajinga kuendesha vyombo vyetu kulitufanya sisi tuwe nani, wajinga zaidi? LOL
- Unapotunga sheria ya Usalama wa Taifa inayokataza watu wa usalama wa taifa kusimamia usalama huo ni ujinga!
- Unapotunga sheria ya maadili ya viongozi ambayo inaruhusu watu kukagua mali za viongozi lakini inakataza kumwambia mtu mwingine huo ni ujinga
- Unapokuwa na viongozi wawili wanaozungumzia jambo lile lile na wanapingana kama Ndulu na Mgonja au Mkulo na Ikulu huo ni ujinga
- Unapoacha mtuhumiwa anajiuzulu kwa kashfa halafu anaenda kupongezwa kwa ujasiri wa kujiuzulu huo ni ujinga
- Unapoacha kutafuta waliokwiba fedha unakamata watu wawili na wengine tisa kwa habari za kuchonga halafu unawaachilia kinyemela huo ni ujinga
Mjinga is what mjinga does!!

Naam, hapa kamanda umenena, hii leo kuna mabandiko sio chini ya manne yenye kuzungumzia suala/tatizo/kero hii na katika ile hali yetu ya ulofa(ujinga) lawama zimekimbizwa kwa haraka kwa hao wapokeao watuhumiwa kwa vifijo na vigelegele huku wakisahau kuwa kuna bosi kubwa ambae alipaswa kumuwajibisha mtuhumiwa badala ya kumpa nafasi ya kujiuzuru ili apate nafasi ya kujinadi upya...- Unapoacha mtuhumiwa anajiuzulu kwa kashfa halafu anaenda kupongezwa kwa ujasiri wa kujiuzulu huo ni ujinga
Mjinga is what mjinga does!!
Kwa hiyo hii ishu goes beyond ile uliyoi'quote' kuhusu contractors kutoka nchi za nje? Katika hili la makandarasi, bado sijakupata Mkuu ni kitu gani kilichokufanya uone kuwa sisi ni wajinga!
taratibu na aina ya maandishi yako...makubwa mno kiasi ya kukera machoTanzanians,
IF THOU ONLY GIVETH ME THE CLUB...
Taratibu?? tusilalamike basitaratibu na aina ya maandishi yako...makubwa mno kiasi ya kukera macho