Tukubali tukatae, kutoshiriki mapenzi ni chanzo kikubwa Cha ugonjwa wa Afya akili

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Wagonjwa wengi wa maradhi ya Afya ya akili chanzo kikubwa kinaletwa na kutoshiriki tendo la ndoa kwa walio na umri wa kufanya ilo tendo.

Wenye maradhi haya wengi ni wale WALIOKUWA wanandoa au walikuwa kwenye mahusiano lakini Sasa yamevunjika ghafla.

Tukubaliane waanga wengi ni wao

Muhimbili assnteni
 
Wenye maradhi haya wengi ni wale WALIOKUWA wanandoa au walikuwa kwenye mahusiano lakini Sasa yamevunjika ghafla.🥺🥺🥺🤔
 
Wagonjwa wengi wa maradhi ya Afya ya akili chanzo kikubwa kinaletwa na kutoshiriki tendo la ndoa kwa walio na umri wa kufanya ilo tendo.

Wenye maradhi haya wengi ni wale WALIOKUWA wanandoa au walikuwa kwenye mahusiano lakini Sasa yamevunjika ghafla.

Tukubaliane waanga wengi ni wao

Muhimbili assnteni
Nina miaka miwili, sijashiriki.. Ila nimekuta akili yangu ipo very sharp na nipo na boldness kweli kweli..
 
Una uhakika gani kwamba hawashiriki mkuu?
😂🥴
 
Back
Top Bottom