Tukubaliane kimsingi ulaya Mpira upo BundesLiga na Serie A

Waterloo

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
25,356
Reaction score
38,922
Hapana mashaka kwa tathmini niliyoifanya soka katika bara ulaya linalovutia na kueleweka zaidi utalipata katika ligi ya Ujerumani na Italia.
 
Mkuu ilikua ni lazima Madrid wachezewe vile kutokana na kwamba Buyern ndio walikua majeruhi, na ndio kinachotokea leo hapa kwa Roma na Liver
Si suala la la nani kacheza kwa ajili ya nini. Ni suala la viwango tu boss
 
Hii haina tofauti na wale jamaa wa visiwani, Kufungwa tumefungwa lakini.vyenga tumewala.
 
Hapana mashaka kwa tathmini niliyoifanya soka katika bara ulaya linalovutia na kueleweka zaidi utalipata katika ligi ya Ujerumani na Italia.
Tunapima ubora wa jambo kutokana na kutizama mafanikio/faida zake,
Huo ubora wako umebase kwenye nini? kupiga chenga? kupiga pasi nyingi?
Team hukumbukwa kwa mafanikio na hasa kwa kuchukua vikombe na ndio lengo la kila team.
 
Hapana mashaka kwa tathmini niliyoifanya soka katika bara ulaya linalovutia na kueleweka zaidi utalipata katika ligi ya Ujerumani na Italia.
Ahahahaha mpira kwenye mtoano ni technique zinatumika. Uliona mpira waliokua wanaucheza Madrid hadi kupata goli la kusawazisha alilofunga Benzema
 
Seire A na La Liga ndio ligi bora ulaya.

standard yao ya mpira ipo juu kiukwel, kuanzia vipaji, makocha, ma director wa na viongozi wazuri, mpira unaovutia kiujumla.
 
Mpira upo serie a Timu za England na spain mbona zilipokea kichapo kizuri toka kwa timu za serie a kwa nn useme hakuna mpira
 
Kila mtu atazame panapo mfaa. Mm binafsi nina miaka 16 sijawahi kabisa kuangalia mechi za EPL hata moja . Hata wanangu nyumbani marufuku Juve icheze alafu usiangalie. Thanks God wameshanielewa. Ni mechi za Juve + basketbal tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…