Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesahau na hapo Mtaa Wa Msimbazi....Hapana mashaka kwa tathmini niliyoifanya soka katika bara ulaya linalovutia na kueleweka zaidi utalipata katika ligi ya Ujerumani na Italia.
Mkuu ilikua ni lazima Madrid wachezewe vile kutokana na kwamba Buyern ndio walikua majeruhi, na ndio kinachotokea leo hapa kwa Roma na LiverKwa mpira ambao kachezewa Jana Madrid na Bayern Munich aisee la liga bado sana.
Huu ni ukweli mchungu kwa wapenzi wa EPLHapana mashaka kwa tathmini niliyoifanya soka katika bara ulaya linalovutia na kueleweka zaidi utalipata katika ligi ya Ujerumani na Italia.
Tunapima ubora wa jambo kutokana na kutizama mafanikio/faida zake,Hapana mashaka kwa tathmini niliyoifanya soka katika bara ulaya linalovutia na kueleweka zaidi utalipata katika ligi ya Ujerumani na Italia.
Ahahahaha mpira kwenye mtoano ni technique zinatumika. Uliona mpira waliokua wanaucheza Madrid hadi kupata goli la kusawazisha alilofunga BenzemaHapana mashaka kwa tathmini niliyoifanya soka katika bara ulaya linalovutia na kueleweka zaidi utalipata katika ligi ya Ujerumani na Italia.