Kila mtu atazame panapo mfaa. Mm binafsi nina miaka 16 sijawahi kabisa kuangalia mechi za EPL hata moja . Hata wanangu nyumbani marufuku Juve icheze alafu usiangalie. Thanks God wameshanielewa. Ni mechi za Juve + basketbal tu.
Mtoto umleavyo ndio akuavyo bob. mm baba yangu alinilea kuipenda Juentus na Formula 1 tangu nikiwa mdogo . Nilipokua nikaongezea Basketball tu. Siwezi kujutia kuwamezesha sumu za Bianconeri wanangu. Hapa walipo asubuhi nimesikia wanaambiana leo Juve na Bologna mama, Ngoja tusome mapema ili tuangalie mpira usiku.Huo unaitwa udikteta uchwara. Karma is a bitch, subiri wakue ukikaribishwa kwenye nyumba zao utalazimishwa uangalie Isindingo mwanzo mwisho .
Kwa mpira ambao kachezewa Jana Madrid na Bayern Munich aisee la liga bado sana.
Mpira upo serie a Timu za England na spain mbona zilipokea kichapo kizuri toka kwa timu za serie a kwa nn useme hakuna mpira
Seire A na La Liga ndio ligi bora ulaya.
standard yao ya mpira ipo juu kiukwel, kuanzia vipaji, makocha, ma director wa na viongozi wazuri, mpira unaovutia kiujumla.
Bundesliga >laliga>serie A>epl
Zaidi ya pesa na matangazo epl hakuna kitu.
Bundesliga inaongoza kuwa na mpira mzuri wenye kasi na kuvutia, atmosphere ya uwanjani inavutia kuliko ligi ytte duniani.
Epl ndio wamwisho kabisa duniani,,, hata yakwetu ina uafazali
Sikutofautishi na maprofesa wa kibongo!Maana wao uwezo wa kujieleza kwenye mtihani ndiyo kipimo cha akili bila kujali hicho unachofaulu kwenye mtihani kama kinaleta mafanikio yoyote!Hapana mashaka kwa tathmini niliyoifanya soka katika bara ulaya linalovutia na kueleweka zaidi utalipata katika ligi ya Ujerumani na Italia.
La Liga ndo kila kitu