Tukubaliane kimsingi ulaya Mpira upo BundesLiga na Serie A

Tukubaliane kimsingi ulaya Mpira upo BundesLiga na Serie A

Kila mtu atazame panapo mfaa. Mm binafsi nina miaka 16 sijawahi kabisa kuangalia mechi za EPL hata moja . Hata wanangu nyumbani marufuku Juve icheze alafu usiangalie. Thanks God wameshanielewa. Ni mechi za Juve + basketbal tu.


Huo unaitwa udikteta uchwara. Karma is a bitch, subiri wakue ukikaribishwa kwenye nyumba zao utalazimishwa uangalie Isindingo mwanzo mwisho .
 
Huo unaitwa udikteta uchwara. Karma is a bitch, subiri wakue ukikaribishwa kwenye nyumba zao utalazimishwa uangalie Isindingo mwanzo mwisho .
Mtoto umleavyo ndio akuavyo bob. mm baba yangu alinilea kuipenda Juentus na Formula 1 tangu nikiwa mdogo . Nilipokua nikaongezea Basketball tu. Siwezi kujutia kuwamezesha sumu za Bianconeri wanangu. Hapa walipo asubuhi nimesikia wanaambiana leo Juve na Bologna mama, Ngoja tusome mapema ili tuangalie mpira usiku.
 
Kwa mpira ambao kachezewa Jana Madrid na Bayern Munich aisee la liga bado sana.


KATIKA UZI MBOVU KUWAHI KUTOKEA HAPA #JF TOKEA IANZISHWE BASI NI HUU

Yani Unaipima Ligi Kwa Mechi Mmoja?
Je, First Leg Bayern Walifanywaje na Real mbona Hukuicomment hile Mechi?
 
Mpira upo serie a Timu za England na spain mbona zilipokea kichapo kizuri toka kwa timu za serie a kwa nn useme hakuna mpira


Baada Ya Timu Za England na Spain Kupokea Kichapo tena Hizo Za Italy Ziliishia Wapi na Spain Zikaishia Wapi?

Sisi Hatuangalii umetumia Nguvu Kiasi Gani Katika Kumtongoza! Tunachoangalia Je Umempata?
 
UKWELI USIOPINGIKA:

1- Ligi Ya Ujerumani Ni Ligi Ya Farmers (Wakulima) Ambao Wanaorganise na Kutengeneza Timu Za Mashambani?
Hatimar Bayern Anaelekea Kuchukuwa Ubingwa Mara #10 mfululizo.

2- Ligi Ya Italy Ni Ligi Ya Farmers na Mashirika Ya Harakati Za Kidini! Na Ndiyomana Juventus Anaelekea Kuchukua Ubingwa Mara #10 mfululizo.


LIGI YOYOTE AMBAYO KUNA TIMU INABEBA UBINGWA ZAIDI YA MARA TANO MFULULIZO BASI HIYO SI LIGI

Ndani Ya EPL na LALIGA kwasasa Hakuna Mwenye Ubavu Wa Kubeba Kombe Mara Hata 4 Mfululizo Kwasababu Kuna Timu Zinazofantiana Ushindani.
 
Seire A na La Liga ndio ligi bora ulaya.

standard yao ya mpira ipo juu kiukwel, kuanzia vipaji, makocha, ma director wa na viongozi wazuri, mpira unaovutia kiujumla.

Epl ndio wamwisho kabisa duniani,,, hata yakwetu ina uafazali
 
Bundesliga >laliga>serie A>epl

Zaidi ya pesa na matangazo epl hakuna kitu.

Bundesliga inaongoza kuwa na mpira mzuri wenye kasi na kuvutia, atmosphere ya uwanjani inavutia kuliko ligi ytte duniani.
 
Bundesliga >laliga>serie A>epl

Zaidi ya pesa na matangazo epl hakuna kitu.

Bundesliga inaongoza kuwa na mpira mzuri wenye kasi na kuvutia, atmosphere ya uwanjani inavutia kuliko ligi ytte duniani.


Munamaanisha Bundesliga imebeba Ubora Kwasababu Bayern Anabeba Kombe Kwa Mara ya 7 Mfululizo au?? Na Kwa Sera Zake Za Kiuchumi Za Kuziuwa Timu Zinazomletea Challenge Kwa Kuwanunuwa Wachezaji Wao Basi Kwa Miaka 100 ijayo Atabeba Kombe la Bundesliga Mfululizo halafu muiite Ligi Bora.
Na Kule Juventus Anampango Wa Kulibeba Serie A Mara 10 mfululizo Halafu munataka Kutuaminisha Kuwa Zile Ni Ligi Bora?


Watu wengine bhana 😀😀😀

Epl ndio wamwisho kabisa duniani,,, hata yakwetu ina uafazali
 
German hamna mpira ila kuna timu, Beyern Hana mpinzan ligi inaanza ushamjua Mshind
Lakini angalia England, Spain ndo utajua mpira upo Huko ila sio German
 
Hapana mashaka kwa tathmini niliyoifanya soka katika bara ulaya linalovutia na kueleweka zaidi utalipata katika ligi ya Ujerumani na Italia.
Sikutofautishi na maprofesa wa kibongo!Maana wao uwezo wa kujieleza kwenye mtihani ndiyo kipimo cha akili bila kujali hicho unachofaulu kwenye mtihani kama kinaleta mafanikio yoyote!
 
Back
Top Bottom