Wengine hua wanaandika tu kupata sifa jamvini ila huko mitaani wametulia kama maji ya mtungi.
Zote anazo!
Mara nyingi nimekuwa nikifuatilia Thread na Comment zinazotolewa
na pande hizi mbili na kujaribu kuzilinganisha. Nimegundua kuwa wanaume
wanaopatikana hapa JF- MMU ni Malaya ah! samahani ni vicheche sipendi kuzianika
baadhi ya Thread hapa au majina ya watu wanaoongoza kwa tabia hiyo
isipokuwa kila mmoja ni shahidi.
Mfano Mwanaume anaweza kupost Thread kuhusu wanawake wa Mbeya, Atawaelezea
kiunaga ubaga jambo linalothibitisha kuwa katembea na zaidi ya mmoja. Mwingine
atakwambia ah! wanawake wa mkoa fulani bwana wako hivi kitandani yaani
lugha anayoileta ni wazi kuwa katembea na mwanamke zaidi ya mmoja.
Pia zipo Comment ambazo mtu anakwambia tu huyo kandamiza kisha achana nae,
yaani ni wazi kuwa huyu mtu yuko hivyo. Kwa wanawake si jambo la kawaida sana
kukuta wakisifia wanaume wa mkoa huu na huu labda huko ma mambo ya kk....
Sasa sijui ndo kusema wanaume ndo vicheche zaidi?
Nakusudia wanaopatikana hapa MMU.
Krismas njema waungwana.
Siassume ila baadhi nawafahamu, wanayoandika humu na walivyo ni vitu viwili tofauti.Hata wajanja wengine sio wajanja in real life. . . . sema sikatai kwamba wapo wanaojitoa mhanga.dont assume Lizzy
wengine we mean bizness
afu huyu si ndo anapenda mhindi baada ya kubinywa mkono
asiseme yeye kicheche kuuziwa flash tu akayeyushwa?
am the siriest person in jf
kila kitu nakibeba kama kilivyo
Mara nyingi nimekuwa nikifuatilia Thread na Comment zinazotolewa
na pande hizi mbili na kujaribu kuzilinganisha. Nimegundua kuwa wanaume
wanaopatikana hapa JF- MMU ni Malaya ah! samahani ni vicheche sipendi kuzianika
baadhi ya Thread hapa au majina ya watu wanaoongoza kwa tabia hiyo
isipokuwa kila mmoja ni shahidi.
Mfano Mwanaume anaweza kupost Thread kuhusu wanawake wa Mbeya, Atawaelezea
kiunaga ubaga jambo linalothibitisha kuwa katembea na zaidi ya mmoja. Mwingine
atakwambia ah! wanawake wa mkoa fulani bwana wako hivi kitandani yaani
lugha anayoileta ni wazi kuwa katembea na mwanamke zaidi ya mmoja.
Pia zipo Comment ambazo mtu anakwambia tu huyo kandamiza kisha achana nae,
yaani ni wazi kuwa huyu mtu yuko hivyo. Kwa wanawake si jambo la kawaida sana
kukuta wakisifia wanaume wa mkoa huu na huu labda huko ma mambo ya kk....
Sasa sijui ndo kusema wanaume ndo vicheche zaidi?
Nakusudia wanaopatikana hapa MMU.
Krismas njema waungwana.
be warned
big mama is watching you
Umejuaje vicheche labda na wewe kicheche maana mchawi anamjua mchawi mwenzie.
Wewe ni He au She?
Pili ikiwa majina yetu yenyewe tunatumia feki basi hata tabia zetu pia ni feki vilevile!!!!
Siassume ila baadhi nawafahamu, wanayoandika humu na walivyo ni vitu viwili tofauti.Hata wajanja wengine sio wajanja in real life. . . . sema sikatai kwamba wapo wanaojitoa mhanga.
mmh ule ni mtazamo 2 sina lolote.
afu hata ww pia sijaona baya normaly huwa unachekesha 2.
hata kongosho jaman.