Tukubaliane tu "WANAUME WENGI JF - MMU NI VICHECHE"

Tukubaliane tu "WANAUME WENGI JF - MMU NI VICHECHE"

dont assume Lizzy
wengine we mean bizness

afu huyu si ndo anapenda mhindi baada ya kubinywa mkono
asiseme yeye kicheche kuuziwa flash tu akayeyushwa?

Wengine hua wanaandika tu kupata sifa jamvini ila huko mitaani wametulia kama maji ya mtungi.
 
Kicheche mwenyewe kama ni vizuri! Ila "senks" mkuu maana sikutarajia kucheka leo!

Mara nyingi nimekuwa nikifuatilia Thread na Comment zinazotolewa
na pande hizi mbili na kujaribu kuzilinganisha. Nimegundua kuwa wanaume
wanaopatikana hapa JF- MMU ni Malaya ah! samahani ni vicheche sipendi kuzianika
baadhi ya Thread hapa au majina ya watu wanaoongoza kwa tabia hiyo
isipokuwa kila mmoja ni shahidi.

Mfano Mwanaume anaweza kupost Thread kuhusu wanawake wa Mbeya, Atawaelezea
kiunaga ubaga jambo linalothibitisha kuwa katembea na zaidi ya mmoja. Mwingine
atakwambia ah! wanawake wa mkoa fulani bwana wako hivi kitandani yaani
lugha anayoileta ni wazi kuwa katembea na mwanamke zaidi ya mmoja.

Pia zipo Comment ambazo mtu anakwambia tu huyo kandamiza kisha achana nae,
yaani ni wazi kuwa huyu mtu yuko hivyo. Kwa wanawake si jambo la kawaida sana
kukuta wakisifia wanaume wa mkoa huu na huu labda huko ma mambo ya kk....
Sasa sijui ndo kusema wanaume ndo vicheche zaidi?
Nakusudia wanaopatikana hapa MMU.
Krismas njema waungwana.
 
dont assume Lizzy
wengine we mean bizness

afu huyu si ndo anapenda mhindi baada ya kubinywa mkono
asiseme yeye kicheche kuuziwa flash tu akayeyushwa?
Siassume ila baadhi nawafahamu, wanayoandika humu na walivyo ni vitu viwili tofauti.Hata wajanja wengine sio wajanja in real life. . . . sema sikatai kwamba wapo wanaojitoa mhanga.
 
Nachohis ww ni mmoja wapo au ulipata bwana mmu then kakutema polee jaribu mwengine
 
Wewe ni He au She?
Pili ikiwa majina yetu yenyewe tunatumia feki basi hata tabia zetu pia ni feki vilevile!!!!
 
Mara nyingi nimekuwa nikifuatilia Thread na Comment zinazotolewa
na pande hizi mbili na kujaribu kuzilinganisha. Nimegundua kuwa wanaume
wanaopatikana hapa JF- MMU ni Malaya ah! samahani ni vicheche sipendi kuzianika
baadhi ya Thread hapa au majina ya watu wanaoongoza kwa tabia hiyo
isipokuwa kila mmoja ni shahidi.

Mfano Mwanaume anaweza kupost Thread kuhusu wanawake wa Mbeya, Atawaelezea
kiunaga ubaga jambo linalothibitisha kuwa katembea na zaidi ya mmoja. Mwingine
atakwambia ah! wanawake wa mkoa fulani bwana wako hivi kitandani yaani
lugha anayoileta ni wazi kuwa katembea na mwanamke zaidi ya mmoja.

Pia zipo Comment ambazo mtu anakwambia tu huyo kandamiza kisha achana nae,
yaani ni wazi kuwa huyu mtu yuko hivyo. Kwa wanawake si jambo la kawaida sana
kukuta wakisifia wanaume wa mkoa huu na huu labda huko ma mambo ya kk....
Sasa sijui ndo kusema wanaume ndo vicheche zaidi?
Nakusudia wanaopatikana hapa MMU.
Krismas njema waungwana.

Hata wao ni vicheche tena zaidi,ila hawako waz kucomment
 
aisee ule ni mtazamo 2 hakuna lolote
afu hata ww pia jaman maana normaly huwa unapost vya kuchekesha 2.
hata kongosho jaman.
 
Kwa hiyo JF tunaishi kifeki feki kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeh.
Wewe ni He au She?
Pili ikiwa majina yetu yenyewe tunatumia feki basi hata tabia zetu pia ni feki vilevile!!!!
 
Siassume ila baadhi nawafahamu, wanayoandika humu na walivyo ni vitu viwili tofauti.Hata wajanja wengine sio wajanja in real life. . . . sema sikatai kwamba wapo wanaojitoa mhanga.

mimi huwa najitoa mhanga. Nipo serious kama nikiwa kwenye ile kazi origino ya che guevara
 
kisaikolojia ukiona mwanaume anajitokeza 'kuponda' wanaume
wenzake....basi kuna kitu kinamsumbua...

labda anaona anashindwa ku compete since wanaume wote ni hunters

au anaona hiyo ndo njia ya kujipandisha yeye chat

au yuko frustrated na mambo yake so anatoa hasira zake kwa wasiohusika.....

all in all huwezi kutegemea wanawake wajisifie kutembea na wanaume wengi...
ni vigumu......
wanaume ni kawaida hata kama sio kweli
 
Ha ha ha ha
umenichekesha sana

kwamba hata mie?
Basi ngoja nikugongee LIKE

mmh ule ni mtazamo 2 sina lolote.
afu hata ww pia sijaona baya normaly huwa unachekesha 2.
hata kongosho jaman.
 
Mkuu, yani kwenye siredi yako umejichanganya kiaina. Kule mwanzo umeanza kwa kusema conclusively kwamba umegundua kwamba wanaume wa JF ni malaya, a.k.a vicheche. Hapo chini ukaja na swali tena la kuonyesha kama huna uhakika na ulichokisema! Yaani umeandika kama GAZETI, tena gazeti lenyewe la udaku.
Btw, usione wanawake hawachangii kiuchechecheche ukadhani wao wana nafuu. Yawezekana hayo ni matokeo ya athali za mfumo dume tu. Maana kama wanaume ni vicheche, maana yake wanafanya huo u kichehche wao na wanawake, na wanawake wenyewe ndo hawa. Au kama wanaume siku hizi wameanza kujichechea wenyewe basi hiyo nayo ni hoja nyingine.
 
Back
Top Bottom