Tukujikumbushe Wachezaji wa Simba kabla ya MO

jibu ni simple sana sponsor alikuwepo uncle wake Mo dewji anaitwa AZAM DEWJI kipindi hicho Mo alikuwa marekani anasoma chuo ,familia yao imeiaidia simba for years toka enzi watu wanavaa jezi zimeandikwa taifa soap
Anajifanya hajui...,
Ndio maana nimemwambia aongelee hiyo 1993
 
Emmanuel Okwi, Patrick Mafisango (RIP), Juma Kaseja, Mohamed Hussein, ... Hao ni wachezaji wachache ninaowakumbuka kabla ya kuja mwekezaji wetu (Mo) na kutuletea wakina Chama na Miquissone
 
Emmanuel Okwi, Patrick Mafisango (RIP), Juma Kaseja, Mohamed Hussein, ... Hao ni wachezaji wachache ninaowakumbuka kabla ya kuja mwekezaji wetu (Mo) na kutuletea wakina Chama na Miquissone
Upo sahihi, lakini hicho sio kipindi cha njaa mkuu.
Hicho ni kipindi ambacho yanga anakula 5
 
Emmanuel Okwi, Patrick Mafisango (RIP), Juma Kaseja, Mohamed Hussein, ... Hao ni wachezaji wachache ninaowakumbuka kabla ya kuja mwekezaji wetu (Mo) na kutuletea wakina Chama na Miquissone
Okwi mara zote nchi hii analetwa na familia
 
Mark Sirengo toka Kenya, aliwaburuza sana Uto mwanzoni mwa 2000.
Chibe Chibindu anamkubuka sana huyu mwamba
 
Mo ni Tapeli ,Vibiriti vyake ni vya hovyo ,ukiweka sehemu yenye hewa kesho yake unakuta vibichi na haviwezi kufanya ignition ila anadanganya watu kuweka njiti kwenye maji na kufanya ignition...Mo ni Muongo na tapeli.
Acha roho ya kutu mwanaume
 
Simba pia ilishawahi kudhaminiwa na Mzee Salim Bakhresa enzi hizo miaka ya 80.
 
Mwambie aache utapeli huyo KANJIBAI.
Unaweza kuelezea utapeli wake..?? Ni jambo baya saana kuongelea vitu ambavyo hata labda huvijui. Ile ni taasisi ina misingi yake. Na kuna vyombo husika viinavyosimamia hizo taasisi za michezo. Upo..?
 
Unaweza kuelezea utapeli wake..?? Ni jambo baya saana kuongelea vitu ambavyo hata labda huvijui. Ile ni taasisi ina misingi yake. Na kuna vyombo husika viinavyosimamia hizo taasisi za michezo. Upo..?

Yaani haujui UTAPELI wa MO? Serious? Nyuzi kibao humu ndani za UTAPELI na UJANJA UJANJA wa mo zimewekwa ,tafuta utajua uTAPELI wake.
 
Upo sahihi, lakini hicho sio kipindi cha njaa mkuu.
Hicho ni kipindi ambacho yanga anakula 5
Mtoa mada amesema tujikumbushe wachezaji waliokuwepo kabla ya Mo mkuu hao pia walikuwepo before Mo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…