johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
🚮🚮🚮Hiyo ndio rekodi inayotamba CCM tangu Mfumo wa Vyama Vingi uanze
Kwa Chadema rekodi bado inashikiliwa na hayati Ngombale Mwiru aliyewezesha kupata 39% ya kura za Rais na Wabunge Zaidi ya 50 mwaka 2015 alipokuwa Mwenezi wa Lowassa
Komredi Makala tuna Imani Kubwa kwako 2025
Ahsanteni Sana 😄😄
CCM wenzangu wamenielewa vizuriJo tunza kiasi cha heshima ulichobakisha humu JF.
Basi muite Humphrey 😂😂Sitadhubutu kamwe kumuita mtoto wangu au kumshauri rafiki yangu amuite mtoto wake John..!!
Tofautisha kati ya ushindi na wizi wa kura. Ccm ni kama mtu anayejivunia utajiri alioupata kwa ujambazi wa kumwaga damu za watuCCM wenzangu wamenielewa vizuri
Ushindi haunaga Mjadala 😄
2019 na 2020 haikuwa uchaguzi bali uchafuzi.Hiyo ndio rekodi inayotamba CCM tangu Mfumo wa Vyama Vingi uanze
Kwa Chadema rekodi bado inashikiliwa na hayati Ngombale Mwiru aliyewezesha kupata 39% ya kura za Rais na Wabunge Zaidi ya 50 mwaka 2015 alipokuwa Mwenezi wa Lowassa
Komredi Makala tuna Imani Kubwa kwako 2025
Ahsanteni Sana 😄😄
Namkumbuka mwamba kingunge neno moja tu CCM imekata pumzi!Hiyo ndio rekodi inayotamba CCM tangu Mfumo wa Vyama Vingi uanze
Kwa Chadema rekodi bado inashikiliwa na hayati Ngombale Mwiru aliyewezesha kupata 39% ya kura za Rais na Wabunge Zaidi ya 50 mwaka 2015 alipokuwa Mwenezi wa Lowassa
Komredi Makala tuna Imani Kubwa kwako 2025
Ahsanteni Sana 😄😄
Muite mboeSitadhubutu kamwe kumuita mtoto wangu au kumshauri rafiki yangu amuite mtoto wake John..!!
😂😂😂Namkumbuka mwamba kingunge neno moja tu CCM imekata pumzi!
Pumbavu kabisa , wizi mtupu, uchafuzi, Mauaji, kupoteza watu, kuua, kuteka, kesi za kubambikia, kuengua wagombea, yooooote hayo walifanyiwa wapinzani halafu unasema rekodi. Mungu akinipa kibari nawaadhibu wote kwa kadri ya makosa yenu. Kama siyo hapa duniani, huko aliko Mungu mtalipa tu. Mtataja walipo akina Ben, Azory na wengine wengi. Samia, Magufuli, Mkapa, Mwinyi, Kikwete, Nyerere, Siro na ma IGP wenzake, Juma na mahakama, Tulia na Bunge HAWATAKUWEPO. Kila mmoja atasimama kujibu matendo yake.Hiyo ndio rekodi inayotamba CCM tangu Mfumo wa Vyama Vingi uanze
Kwa Chadema rekodi bado inashikiliwa na hayati Ngombale Mwiru aliyewezesha kupata 39% ya kura za Rais na Wabunge Zaidi ya 50 mwaka 2015 alipokuwa Mwenezi wa Lowassa
Komredi Makala tuna Imani Kubwa kwako 2025
Ahsanteni Sana [emoji1][emoji1]
Chadema ilipata mbunge Mmoja wa dawa 😄Pumbavu kabisa , wizi mtupu, uchafuzi, Mauaji, kupoteza watu, kuua, kuteka, kesi za kubambikia, kuengua wagombea, yooooote hayo walifanyiwa wapinzani halafu unasema rekodi. Mungu akinipa kibari nawaadhibu wote kwa kadri ya makosa yenu. Kama siyo hapa duniani, huko aliko Mungu mtalipa tu. Mtataja walipo akina Ben, Azory na wengine wengi. Samia, Magufuli, Mkapa, Mwinyi, Kikwete, Nyerere, Siro na ma IGP wenzake, Juma na mahakama, Tulia na Bunge HAWATAKUWEPO. Kila mmoja atasimama kujibu matendo yake.
Kwani Mwenezi lazima awe kijana?Makonda ana mapungufu yake kama binadamu lakini alikuwa na uwezo mkubwa wa kuifanya CCM ishinde kwa kishindo 2025
Chama kiliamka kwa nguvu hasa .Tatizo wazee wanaojiona bado wako relevant kwenye generation ya sasa wanakosa kumvumilia kwa vitu vidogo vidogo ambavyo ni immaterial ndio maana wamerudisha vikongwe Makala na Nchimbi washike chama
Chama kinaingia generation mpya sio ile ya wazee akina Nchimbi na Makalla .Makonda ndie alikuwa anaonyesha kuiweza hii generation ya sasa kwenye amsha amsha ya chama.Hawa wazee wawili Nchimbi na Makalla kwa kweli hizo nafasi wanapwaya kama huyo mwenezi Makalla ndio kabisaaaaaaa hamna kitu
Ripoti ya sensa ya watu inaonyesha asilimia kubwa inayoongoza kwa wingi Tanzania ni vijana sio wazee .Uenezi unahitaji mtu anayeweza kwendana na ujana wao na mambo yao ya ujana .Vijana wana vituko wazee hawana .Makonda alikuwa anawawezea akifanya vituko wanafurahi na wanamsubiri kwa hamu na mikutano inafurika watu wengi vijana hadi basi.Na misafara yake vijana wanakuwa naye kwa wingi wakimsindikiza kapanda panda nk Hizo sarakasi hawa wazee hawawezi Makala na uzee wake ule aweza panda hata huyo punda?Kwani Mwenezi lazima awe kijana?
We naye...Hiyo ndio rekodi inayotamba CCM tangu Mfumo wa Vyama Vingi uanze