Tukumbuke: Komredi Polepole ameweka rekodi ya kuipa CCM Ushindi wa 84% kwa Rais wa JMT na 98% kwa Wabunge wa Kuchaguliwa 2020!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hiyo ndio rekodi inayotamba CCM tangu Mfumo wa Vyama Vingi uanze

Kwa Chadema rekodi bado inashikiliwa na hayati Ngombale Mwiru aliyewezesha kupata 39% ya kura za Rais na Wabunge Zaidi ya 50 mwaka 2015 alipokuwa Mwenezi wa Lowassa

Komredi Makala tuna Imani Kubwa kwako 2025

Ahsanteni Sana 😄😄
 
🚮🚮🚮
 
2019 na 2020 haikuwa uchaguzi bali uchafuzi.
 
Hiyo ndio rekodi inayotamba CCM tangu Mfumo wa Vyama Vingi uanze

Kwa Chadema rekodi bado inashikiliwa na hayati Ngombale Mwiru aliyewezesha kupata 39% ya kura za Rais na Wabunge Zaidi ya 50 mwaka 2015 alipokuwa Mwenezi wa Lowassa

Komredi Makala tuna Imani Kubwa kwako 2025

Ahsanteni Sana 😄😄
Namkumbuka mwamba kingunge neno moja tu CCM imekata pumzi!
 
Hiyo ndio rekodi inayotamba CCM tangu Mfumo wa Vyama Vingi uanze

Kwa Chadema rekodi bado inashikiliwa na hayati Ngombale Mwiru aliyewezesha kupata 39% ya kura za Rais na Wabunge Zaidi ya 50 mwaka 2015 alipokuwa Mwenezi wa Lowassa

Komredi Makala tuna Imani Kubwa kwako 2025

Ahsanteni Sana [emoji1][emoji1]
Pumbavu kabisa , wizi mtupu, uchafuzi, Mauaji, kupoteza watu, kuua, kuteka, kesi za kubambikia, kuengua wagombea, yooooote hayo walifanyiwa wapinzani halafu unasema rekodi. Mungu akinipa kibari nawaadhibu wote kwa kadri ya makosa yenu. Kama siyo hapa duniani, huko aliko Mungu mtalipa tu. Mtataja walipo akina Ben, Azory na wengine wengi. Samia, Magufuli, Mkapa, Mwinyi, Kikwete, Nyerere, Siro na ma IGP wenzake, Juma na mahakama, Tulia na Bunge HAWATAKUWEPO. Kila mmoja atasimama kujibu matendo yake.
 
Chadema ilipata mbunge Mmoja wa dawa 😄
 
Makonda ana mapungufu yake kama binadamu lakini alikuwa na uwezo mkubwa wa kuifanya CCM ishinde kwa kishindo 2025

Chama kiliamka kwa nguvu hasa .Tatizo wazee wanaojiona bado wako relevant kwenye generation ya sasa wanakosa kumvumilia kwa vitu vidogo vidogo ambavyo ni immaterial ndio maana wamerudisha vikongwe Makala na Nchimbi washike chama

Chama kinaingia generation mpya sio ile ya wazee akina Nchimbi na Makalla .Makonda ndie alikuwa anaonyesha kuiweza hii generation ya sasa kwenye amsha amsha ya chama.Hawa wazee wawili Nchimbi na Makalla kwa kweli hizo nafasi wanapwaya kama huyo mwenezi Makalla ndio kabisaaaaaaa hamna kitu
 
Kwani Mwenezi lazima awe kijana?
 
Kwani Mwenezi lazima awe kijana?
Ripoti ya sensa ya watu inaonyesha asilimia kubwa inayoongoza kwa wingi Tanzania ni vijana sio wazee .Uenezi unahitaji mtu anayeweza kwendana na ujana wao na mambo yao ya ujana .Vijana wana vituko wazee hawana .Makonda alikuwa anawawezea akifanya vituko wanafurahi na wanamsubiri kwa hamu na mikutano inafurika watu wengi vijana hadi basi.Na misafara yake vijana wanakuwa naye kwa wingi wakimsindikiza kapanda panda nk Hizo sarakasi hawa wazee hawawezi Makala na uzee wake ule aweza panda hata huyo punda?

Vituko vya kuvutia vijana ambao ndio wengi na wanavikubali kwa sasa yeye hawezi .

Yuko misplaced.Mwenezi lazima awe kijana sio kikongwe ili afikie generation yake

Makonda alikuwa chaguo sahihi la Mama Samia tena sahihi sana kwa ile nafasi ya uenezi na ingeipa kazi ndogo sana CCM kampeni 2025
 
Hiyo ndio rekodi inayotamba CCM tangu Mfumo wa Vyama Vingi uanze

Kwa Chadema rekodi bado inashikiliwa na hayati Ngombale Mwiru aliyewezesha kupata 39% ya kura za Rais na Wabunge Zaidi ya 50 mwaka 2015 alipokuwa Mwenezi wa Lowassa

Komredi Makala tuna Imani Kubwa kwako 2025

Ahsanteni Sana 😄😄
We naye...
Nshakudharau.....
 
Back
Top Bottom