Ndio mimi hapa sasa! Nakumbushe mwanangu ulikuwa unaitwa nani na ulimaliza mwaka gani?Mwalimu Wajad a.k.a mdudu wa jitegemee huyu jamaa alikuwa noma
Acha utapeli,mwalimu wajadi wa jitegemee alifariki miezi mitatu iliyopitaNdio mimi hapa sasa! Nakumbushe mwanangu ulikuwa unaitwa nani na ulimaliza mwaka gani?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha utapeli,mwalimu wajadi wa jitegemee alifariki miezi mitatu iliyopita
Paree: Alikuwa mwalimu wa somo la biology jina lake lilitokana na parenchyma ππππππNakumbuka baadhi ya majina ya walimu waliyopewa na wanafunzi kama ifuatavyo:
1. Solar system - mwalimu wa geograph form 1 au 2 alifundisha solar system akapatiwa jina hapohapo
2. Bambabay - mwalimu wa commerce form 3 alikua akielezea transport system,akaitaja bambabay ndio ikawa jina lake.
3.Magazijuto - mwalimu wa hisabati darasa la saba alifundisha magazijuto na yeye ndio ikawa jina lake la utani au aka
4. Chonya of chilimwa - mwalimu wa kiswahili secondary alisoma habari za chonya of chilomwa akawa ndio jina lake
tupeni majina zaidi
ISNT IT, mwl wa kemia f2 alikuwa kila baada ya sentens anasema isnt it ndo likawa jina lake.
NTAKULIMA, Alikuwa akikukuta na kosa anakuambia ntakulima bakora.
KISIKIO. Sikio lake moja lilikuwa kama limekatwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha utapeli,mwalimu wajadi wa jitegemee alifariki miezi mitatu iliyopita
Huyu fuvu alimrithi mapafu.alikuwa mkatili mno.Fuvu:
huyu alikuwa discipline master. noma. mwembambaaaa kama snoop dogg.
Kisu:
Bonge la headmaster niliyewahi kumuona. Aligeuza shule iliyokuwa ya wahuni kuwa shule yenye heshima inayofaulisha kwa kiwango cha juu bila mitihani kuvuja. Huyu jina yake kamili ni Kisusange. Kuna wakati alihamaki, akauliza wanafunzi: "naskia kuna wanafunzi wananiita Kisu, hivi wewe baba yako unaweza kumuita ba?"