princebujonde
Senior Member
- Jan 7, 2013
- 198
- 55
mmmh, 70s! Mkuu pmwasyoke utakuwa umeishapata wajukuu sasa!Mapua - headmaster wa 70s Pugu
Sidhani kama kuna mwana Jitegemee yeyote asiyemjua DUDUWASHA huyu alikuwa displine master.Na kwa wale Azania tulimpa mwalimu wetu jina la NOMALE sababu tu alikuwa akipenda kusema normally.
mazengo complex tulikvwa na mwamfupe(unyamaunyama)yunus(popobawa)komba(kipatiko)sichone(njenje)
......we utakuwa msekondari
Mazengo 2001 kuna ticha alikuwa anaitwa TEMBO na mwingine MAKUNJA