Tukumbuke majina ya utani kwa walimu shule tulikotoka

Tukumbuke majina ya utani kwa walimu shule tulikotoka

Madevu- mwalimu wa nidhamu mkali shule nzima
Repetwaa- mwakimu wa kifaransa komedi hakuna maelezo
Sticky- mwalimu wa taaluma mwembamba ila usiombe akuchape hutakaa siku nzima
Mnoko- mwalimu wa history form two, huyu ubongo wake ulikua na database ya unoko haijawahi tokea
Dictation- mwalimu wa kiingereza form two, kila siku lazima usomewe dictation
 
Sidhani kama kuna mwana Jitegemee yeyote asiyemjua DUDUWASHA huyu alikuwa displine master.Na kwa wale Azania tulimpa mwalimu wetu jina la NOMALE sababu tu alikuwa akipenda kusema normally.

ticha gani huyo nomale wa azania? jina lake nani?
 
1 madenge
techer wa history anafanana sana na madenge
2 nyungu
teacher wa biology alikua noma wa mikwaju haswa ----
3 trans hara
techer wa history
 
Wale waliomaliza Jitegemee techear bwenge dah huyu ni noma mkali kama pilipili mwanajeshi huyu akikumata ni aibu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kisusange aliwahi kuwa makamu mkuu wa chuo cha ualimu bustani wakati nasoma hapo mwaka 1986 hadi 1986.wanachuo wengi walipenda kuigiza sauti yake nyembamba.pia kuna mwl mmoja wa kabila la wahaya alijulikana kwa jina la utani "maajabu ya muziki",alikuwa anafundisha somo la muziki.
 
Kwa wale wa Same Sec miaka ya 70 Mwalimu aliyekuwa mfupi sana alikuwa anaitwa Locker wengine nimesahau majina yao kama Shirima aliyekuwa RC Arusha na Mr. Ntungiye
 
Tshirt na jeans-huyu alikuwa ticha wang wa primary alipemda sana kuvaa Tshirt na jeans
scramble for-mwalm wang history wa secndry azania 2009
 
Duh,kuna ticha wetu alikua ana maruhani.yakipanda alikua anakuja na fimbo ka mzigo wa kuni.kila swali akiuliza ni viboko.umepata umekosea yeye ni lazima ule fimbo
 
OCD-mwl wa ulinzi tarime ttc,
Consumer-mwl wa commerce(sasa ni marehemu,mungu amlaze mahali pema. nilikuw sijui jina lake halisi,maana nlikuw mgen shule hiyo,nkaulizwa na headmaster jina la huyo mwl nkasema mwl consumer,wee nlikula viboko sitasahau
 
babu-MWAMBUNGU, kwa wakazi wa dodoma watakuw wanamjua vzr
 
Mazengo 2001 kuna ticha alikuwa anaitwa TEMBO na mwingine MAKUNJA
 
Mazengo 2001 kuna ticha alikuwa anaitwa TEMBO na mwingine MAKUNJA

Tembo na Makunja ni majina halisi kama ilivyo Wassira ama Kikwete, hapa wanaelezea majina ya utani. Kijana 2001 ulikuwa Mazengo? Ha ha haaaa nlikuwa ile while house au cosovo mimi
 
Kweli hii noma. pata hii
Chimpazee history fm 1
Kiuno cha nyigu bios fm 3
 
Bernoulli:Teacher wa physics Form 5 alitusomesha sana bernoulli's princple
Mulla: form 6 physics teacher
babloo: teacher wa biology form 1& 2
 
Back
Top Bottom