Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
"amap" -tosamaganga, mwalimu wa geography alikua anashimdwa tenganisha a na map anavofundisha.
"fyudo" -tosa, huyu alikua anapiga fimbo balaa hafu ni mwal wa history, so wakampa jina lake.
"lowasa"-tosa, teh teh, alikua ana nywele zina mvi full kichwa. nishawahi muita lowasa, aisee robo nifukuzwe shule, wakani handle kwakua mtoto wa mfanyakaz mwenzao
"ndanda cosovo"-tosamaganga, huyu nae alikua na nywele zina rangi kama ndanda cosovo mwanamuziki, ila huyu ticha hatupo naye (rip)
"majinsi"-songea boys, huyu ticha sijawahi muona kavaa siruali ya kitambaa zaidi ya jinsi. kuna dogo mgeni alienda ofisini akasema, namtafuta mwal majinsi, hahaha alilima rami.
"map"-songea boys, mwalimu wangu wa chemistry advance, hiko ni kirefu cha "man against people", sijawahi muona amekaa na walimu wenzie anapiga story, kivyake vyake tu, hatupo nae pia toka mwaka 2012, rip.
"daz baba"-songea boys, huyu mwalimu ni mwanamke , ila kafanana na daz baba mwanamziki balaa, hafu ni flat bottomed flask too, hana matiti makubwa wala makalio makubwa. akivaa suruali na tishirt na style yake ya kunyoa, unajua mshkaji.
"mazip" songea boiz, huyu alikua lab technician, tatizo suruali zake zote lazima a edit zip, hafu nguo zale zina zip si chini ya 4, yaani kila mfuko na zip, ata mashati ya kawaida anaweka zip, nadhani muoga wa kudondosha vitu
"dude"-songea boiz, huyu headmaster wa shule, jina linaongea yote, aisee jamaa anatisha hafu ni dictator