YONDO = mwalimu wa kike mrembo hivi mrefu na akisuka nywele sijui ndo rasta ama wigi, enzi hizo mwanamuziki yondo sister alikua maarufu sana
DENSITY = alikuwa anatufundisha physics kidato cha kwanza topic husika. Kiukweli sikuaga namwelewa katu
PARA = kifupi cha paralysed, alikuwa ni mwalimu wa nidhamu tulimkuta akirecover baada ya kupata stroke miaka ya nyuma
Father SIO = alikua kila baada ya sentensi lazima aseme neno sio
ZAGALO = alikua mwalimu wa history pia kocha mzuri wa football