The Priest
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 1,029
- 258
Hawana muda wa kukutafuta wewe,kwanini kwanza utafutwe? kwani umefanya kosa gani,kuwa makini kutumia uhuru wako,usiwape sababu ya kukutafuta..tumia vizuri key board yako.Topics kama hizi zinatumiwa na usalama wa taifa kujua we ni nani na uko wapi? Beware