Tukumbuke majina ya utani kwa walimu shule tulikotoka

Tukumbuke majina ya utani kwa walimu shule tulikotoka

umenikumbusha mwl solonga! alikuwa ticha wa phyz kila sentenc lazima aseme "so longas" akapewa na jina apo apo
 
Kangaba-mwalimu wa history kibaha sec,alifundisha kuhusu dola ya kangaba kwa wiki 2,afu alikuwa anapenda u-sistaduu wakati umri ulishamtupa mkono!
 
Haha umenikumbusha huyu Mwalimu vile viatu vyake na vimiguu vyake na Moustach... hata sisi tulimuacha akiwa na hicho kitabia...1995 Pamoja na Kijo
Kuna Ticha jina nimelisahau Tulikuwa tunamuita Baiskeli akitembea kama ananyonga Baiskeli sababu ya ulemavu wa Mguu wake..

Kuna Teacher alikuwa anakaa Usa river akapewa jina la mama wa USA
GM Mlimkuta?

Kuna Teacher mmoja alikuwa anatumia english ya kwenye Dictionary kwa sana yaani akiongea ni vituko tu na alikuwa ni Mshamba mshamba hivi hata uvaaji wake na viatu lol jina nimemsahahu siku alikuta Wanafunzi kwenye Mikahawa wamedoja akawaandika majina wote na kila mwanafunzi alikuwa akimtajia majina ya wachezaji wa Yanga kuanzia Steven Nemes karibu list nzima... kwenye parade si ilikuwa wiki ya zamu yake akaanza kuita yale majina wajitokeze mbele si kicheko hicho kwa wanafunzi mstalini alipoona ujinga akawa anawadakua mmoja mmoja kwa sura huku akiwaita kwa yale majina wewe Minziro si nakuita huitiki jeuri sio....
Hii kali mkuu, kina said mwamba, justine mtekele na jumanne shengo
 
Mwalimu msoso-on, hii ilikuwa Turiani primary school miaka ya 86, mwalimu wetu wa english alipenda neno " and so so on"
 
Zera= mwalimu wangu wa Geo f1-4. alipenda sana kusema there different features in geography
Fr.Shasha= alikuwa akitumia sana neno sasa...
 
Zera= mwalimu wangu wa Geo f1-4. alipenda sana kusema there different features in geography
Fr.Shasha= alikuwa akitumia sana neno sasa...
 
Zera= mwalimu wangu wa Geo f1-4. alipenda sana kusema there different features in geography
Fr.Shasha= alikuwa akitumia sana neno sasa...
Kikojozi= kila anapokuja class lazima apitie chooni.
 
Ovimbundu-tcha wa hstry 4m2;alifundsha participants of long dstanc trade akipewa jna apoapo!
 
Mwl mwinyi,huyu alikuwa balaa pale dom sec miaka ya 1996 mpaka 2000 tulimuacha pale,jamaa alikiwa balaa kwa book keeping lakini balaa kwa matusi pia huyo ukimzingua hachelewi kupanda juu ya meza halafu anakwambia mpigane.
 
Pale Makumira ALIKUWEPO Saito baada ya kufundisha saitoplasm
Kijogoo a.ka Kidamo alikuwa discpline anachomekea suruali kwenye soksi
Makaranga alikuwa headmaster

Pale Siha Sec
Kimondo alikuwa headmaster anakuja mabwenini kujua wanafunzi wanmsemaje
Babu mzee Ngunda wa GS
mwanaume mzee marijani wa Geog tukiwa tunaenda KIDECO
Kesho Kideko MWALIMU WA SHAMBA

Pale Mlimani
Polyplacphora huyu ni Dr Gamba baada ya kufundisha Gastropods
Babu mzee wa ZL 103 MWAKA 2000
Gastrulation huyu ni Dr Njau baaada ya kufundisha mada hii karibu term nzima na kila alianza kipindi anasema what is gastrulation?
Hapa wengi hawakupata majina kbu walikuwa wanakamata ile mbaya
 
Waliosema Pussi mzee wa Moustachi yupo Morogoro, sijui Kina Bob mzee wa form 6 lakini anafundisha hesabu /BAM form six, bila kusahau mr Njae a.k.a Ikemefuna akiwa anachambua The River Between hawa wote ni wa Makumira enzi hizo.
 
Hii kali mkuu, kina said mwamba, justine mtekele na jumanne shengo

da umenikumbusha GM NI MAREHEMU SASA, Kijo yupo, Pusi yupo Moro, Saito kastaafu, Makaranga pia, Master alienda Sua, huyo mwnye miguu kama anaendesha baskeli ni Njiku sio? Bob je? Nkwera je mzee wa viboko visivyo na idadi hadi ukimbie? daah long tym
 
kipanya -alikua na kisura kidogo ka panya
kiwi-babu wa civix alikua black kiwi cha mtoto
 
mwalimu tv....alikuwa ana kakchwa kama ka' tv
 
Voice wonder - mwalimu wa GS pale songea boys, jamaa alikua na bonge la sauti, akapewa jina hilo

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom