fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,071
Mbona sasa hivi inaongozwa na haohao!
:ban:Hujui kuongoza ni kufanya nini wewe, inatelekezwa na hao hao ndo neno sahihi, TZ kunauongozi kiserikali??? labda kichama ambako ni CDM tu yenye uongozi