F fikirikwanza JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 7,452 Reaction score 3,071 Jul 19, 2013 #21 Mzizi wa Mbuyu said: Mbona sasa hivi inaongozwa na haohao! Click to expand... :ban:Hujui kuongoza ni kufanya nini wewe, inatelekezwa na hao hao ndo neno sahihi, TZ kunauongozi kiserikali??? labda kichama ambako ni CDM tu yenye uongozi
Mzizi wa Mbuyu said: Mbona sasa hivi inaongozwa na haohao! Click to expand... :ban:Hujui kuongoza ni kufanya nini wewe, inatelekezwa na hao hao ndo neno sahihi, TZ kunauongozi kiserikali??? labda kichama ambako ni CDM tu yenye uongozi
The Certified JF-Expert Member Joined Feb 10, 2016 Posts 910 Reaction score 774 Feb 2, 2017 #22 Sir George Kahama waziri alieiba tofali ikulu ila kilichompata sasa
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,242 Reaction score 45,930 Feb 2, 2017 #23 Mh! Sasa hivi wengine wamebadilika kutoka mbwa hadi kuwa fisi.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Feb 3, 2017 #24 Samaritan said: Mh! Sasa hivi wengine wamebadilika kutoka mbwa hadi kuwa fisi. Click to expand... Fisimaji[emoji35] [emoji35] [emoji35]
Samaritan said: Mh! Sasa hivi wengine wamebadilika kutoka mbwa hadi kuwa fisi. Click to expand... Fisimaji[emoji35] [emoji35] [emoji35]
Kinyungu JF-Expert Member Joined Apr 6, 2008 Posts 19,484 Reaction score 38,416 Feb 3, 2017 #25 Hivi ule mchakato wa kumfanya mtakatifu umefikia wapi?