Tukumbuke Zamani: Historia ya Taifa letu katika picha
















WAO WANAISHI MASAKI MAISHA YA KIFAHARI NA KULA HAKI ZA WANYONGE .


VIFO VIWE JUU YAO.
 


Every month the Bhaktivedanta International Charities feeds over 6,000 needy children in the drought and flood afflicted areas of Orissa and Tamil Nadu, which comprise some of the poorest regions of India. Below you can find some recent reports of our activities, or if you click the picture above you can be taken to our picture gallery.
 


NA NJAA INAUMA NIAFANYE NINI BABA MASKINI MAMA MASKINI?




HII PIA NI SHULE




WAMEKATA TAMAA YA MAISHA










OVIFO VIWE JUU YAO
 
Majibu yao watakwambia darfur , somalia congo kuana maskini kuliko nyinyi.....



Wanawatisha maskini wa mungu ili wawaibie


vifo viwe juu yao
 



KUNAKOO ISHI BINADAMU



BAADA YAKUJENGA NCHI ZAO KILA WIKI WANA ZIARA NA KUOMBAOMBA NCHI ZA WATU ILI WAZIDI WIZI
 
Sasa hizi picha nyingine mzlizoweka zina uhusiano gani na histiria ya Taifa letu?
 
Sasa hizi picha nyingine mzlizoweka zina uhusiano gani na histiria ya Taifa letu?

- Mkuu mimi nilizoweka ilikuwa ni kuweka ukweli ulipo kwamba kwanza masikini hawapo Tanzania tu, wapo dunia nzima, na Mwalimu hakuwa mpenda makuu, na kwamba kama ni kuwaongoza wanyonge basi mfano uliwekwa na Ghandi, wengine wote hawajawahi kuufikia.

Respect.

FMEs!
 



huuu ndio msemo wa weziii wote baaada ya kuuiiiba sanaaa hawana la kusema kwa hio hutoa hoja ya kwamba maskini wapo nchi nyingine.


wezi wakubwa vifo viwe juu yao.
 
huuu ndio msemo wa weziii wote baaada ya kuuiiiba sanaaa hawana la kusema kwa hio hutoa hoja ya kwamba maskini wapo nchi nyingine.


wezi wakubwa vifo viwe juu yao.

- Mkuu sasa umesikika tena loud and clear, karibu tuendelee kukata ishus muhimu kwa taifa. Bwa! ha! ha! maneno yako yamenifurahisha sana pole sana na karibu tumkome nyani!

- Duh! kaaazi kweli kweeeli Bwa! ha! ha! ha!

Respect.

FMEs!

 



vifo viwe juu yao
 
Bin Laden,


Hapa ndio Mwinyi akiuza IPTL!.. ama kweli rais wa wanyonge!
 
bin laden,


hapa ndio mwinyi akiuza iptl!.. Ama kweli rais wa wanyonge!



hili jina tuu mkandara linaonyesha kama ni fisadi mkubwa.




Bila ya mwinye nyinyi wehu hata tivii ingekuwa dili...mungepanga foleni za mikate na kufilisi wahindi nyumba zao ili muuziane kama kule masaki.

Wezi wakubwa
 

Nilikuwa namuuliza huyo anayetuwekea picha za Somalia, Darfur na Dubai kama zina uhusiano wowote na Historia ya Tanzania. Maana naona ana mihasira kweli kweli.

 
Last edited:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…