OsamaBinLaden
JF-Expert Member
- May 2, 2009
- 706
- 3
WAO WANAISHI MASAKI MAISHA YA KIFAHARI NA KULA HAKI ZA WANYONGE .
VIFO VIWE JUU YAO.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hizi picha nyingine mzlizoweka zina uhusiano gani na histiria ya Taifa letu?
- mkuu mimi nilizoweka ilikuwa ni kuweka ukweli ulipo kwamba kwanza masikini hawapo tanzania tu, wapo dunia nzima, na mwalimu hakuwa mpenda makuu, na kwamba kama ni kuwaongoza wanyonge basi mfano uliwekwa na ghandi, wengine wote hawajawahi kuufikia.
respect.
fmes!
huuu ndio msemo wa weziii wote baaada ya kuuiiiba sanaaa hawana la kusema kwa hio hutoa hoja ya kwamba maskini wapo nchi nyingine.
wezi wakubwa vifo viwe juu yao.
- mkuu sasa umesikika tena loud and clear, karibu tuendelee kukata ishus muhimu kwa taifa. Bwa! Ha! Ha! Maneno yako yamenifurahisha sana pole sana na karibu tumkome nyani!
- duh! Kaaazi kweli kweeeli bwa! Ha! Ha! Ha!
respect.
fmes!
![]()
kunakoo ishi binadamu
baada yakujenga nchi zao kila wiki wana ziara na kuombaomba nchi za watu ili wazidi wizi
bin laden,
![]()
hapa ndio mwinyi akiuza iptl!.. Ama kweli rais wa wanyonge!
- Mkuu mimi nilizoweka ilikuwa ni kuweka ukweli ulipo kwamba kwanza masikini hawapo Tanzania tu, wapo dunia nzima, na Mwalimu hakuwa mpenda makuu, na kwamba kama ni kuwaongoza wanyonge basi mfano uliwekwa na Ghandi, wengine wote hawajawahi kuufikia.
Respect.
FMEs!