Tukumbuke Zamani: Historia ya Taifa letu katika picha

Tukumbuke Zamani: Historia ya Taifa letu katika picha

tukubali,tusikubali,one thing is certain,the war against uganda's idi amin,put a brake on maendeleo yetu.from that time onwards,tanzania imelegalega sana,as a country we never recovered and its evident our woes began from this time.All our scarce resources were put up,to funding this war.the aftermath,books have never balanced .and to cap it all we tanzanians were taken for a ride,which involved a hidden agenda,to reinstate Milton obote
 
...Tangu enzi na enzi Zanzibar ni nchi ya kibiashara, 'huenda' sera fulani fulani za 'matakwa' ya Muungano zinakwamisha maendeleo ya Zanzibar kama Nchi kujiendeleza kujitegemea kibiashara;

Baada ya Zanzibar kuporomoka kiuchumi enzi za Utawala wa Mzee Jumbe, Alhaj Ali Hassan Mwinyi na timu yake katika kipindi kifupi, waliibua tena matumaini huko visiwani;

Shk Ali Hassan Mwinyi huyo huyo akaja kuleta 'nuru' mpya Tanzania bara pia katika utawala wake wa urais wa Jamhuri ya Muungano.

Shukran sana Mzee Ruksa, ni historia pekee itayokuhukumu uzito wa mazuri na mabaya yako!

View attachment 2277
 
tukubali,tusikubali,one thing is certain,the war against uganda's idi amin,put a brake on maendeleo yetu.from that time onwards,tanzania imelegalega sana,as a country we never recovered and its evident our woes began from this time.All our scarce resources were put up,to funding this war.the aftermath,books have never balanced .and to cap it all we tanzanians were taken for a ride,which involved a hidden agenda,to reinstate Milton obote

Unajua the fun thing kuhusu all this, ni kwamba nasikia kuwa sisi na Amin, tulikuwa tunanunua silaha za vile vita mahali pamoja, na sasa hivi madeni yetu ni karibu sawa na kwa mdeni mmoja, what a joke!
 
FMES,
Kuna wakati Soviet Union walikataa kutuuzia mizinga ya katyusha. Mwalimu akampigia simu rais wa Angola. Kati ya nchi zilizotusaidia sana katika vita na Iddi Amin Angola is on the top. Lile Boeing 737 lilipelekwa Luanda limetolewa viti vyote likarudi na mizinga.
 
Mmmh jamani hizi sio stori za maskani sasa? Nina shaka nazo! lete ushahidi mkulu!
 
tukubali,tusikubali,one thing is certain,the war against uganda's idi amin,put a brake on maendeleo yetu.from that time onwards,tanzania imelegalega sana,as a country we never recovered and its evident our woes began from this time.All our scarce resources were put up,to funding this war.the aftermath,books have never balanced .and to cap it all we tanzanians were taken for a ride,which involved a hidden agenda,to reinstate Milton obote
...Enzi hizo Vyombo vya habari vilikuwa vinamilikiwa na Serikali, kuanzia RTD, magazeti ya UHURU, MZALENDO, DAILY NEWS na SUNDAY NEWS, si ajabu 'propaganda' za kudidimia uchumi kutokana na vita vya Kagera pia zilikolezwa kwenye vichwa vyetu, ...hivi tulipotwangana nae Amin huyo huyo 1971/72 uchumi haukutetereka?

...makamanda wetu wakiwa na Raisi wa Uganda wakati huo, Godfrey Binaisa (aliyemfuatia Yusuf Lule), kisha ndio akaja Milton Obote ambaye alikuja pinduliwa na M7!!!

attachment.php
 
Da mkulu hawa kweli walikuwa makamanda....Angalia vile wanavyotisha sio siku hizi mabrazameni weeengi!!!!
 
Picha Iiliyomwogopesha MKAPA ilipigwa Msikiti wa Mtambani baada ya mauaji ya Mwembechai

Image29.jpg

Da nakumbuka kipindi hicho mkuu tukiwa na mitkasi zetu ofisi mkononi.....Ilikuwa balaaa; dili nyingi zilikauka; that time. Ilikuwa ni kipindi kikali sana cha recession kwa wapigadili tauni.
 
tumetoka mbali mmh!
attachment.php
 
Attachments

  • Gomes_Bu-Bu-Bu_Express.jpg
    Gomes_Bu-Bu-Bu_Express.jpg
    47.6 KB · Views: 243
Karume funeral

attachment.php
 
Attachments

  • KarumeFuneral.jpg
    KarumeFuneral.jpg
    100.9 KB · Views: 254
Nafikiri vifaa vyenyewe ni hivi vilivyoazimwa na serikali ya TZ kutoka Zenj vita vya Kagera!!

attachment.php
 
Attachments

  • ZanzibarAirDefense.jpg
    ZanzibarAirDefense.jpg
    64.3 KB · Views: 937
stamp

attachment.php
 
Attachments

  • Tolerance%20Stamp.jpg
    Tolerance%20Stamp.jpg
    56.3 KB · Views: 296
Space station Zanzibar.

attachment.php
 
Attachments

  • Tunguu_Tracking_Station_1961.jpg
    Tunguu_Tracking_Station_1961.jpg
    30.3 KB · Views: 296
Hivi ipi hasa bendera ya Zanzibar kati ya hizi naona kanchi kilikuwa kinabadilisha bendera kama shati!!

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 
Attachments

  • tz-zapr.gif
    tz-zapr.gif
    5.5 KB · Views: 350
  • tz_pemba.gif
    tz_pemba.gif
    2.6 KB · Views: 337
  • tz-za64a.gif
    tz-za64a.gif
    729 bytes · Views: 346
  • tz-zan63.gif
    tz-zan63.gif
    1.5 KB · Views: 352
  • tz-za05.gif
    tz-za05.gif
    1.5 KB · Views: 335
Hivi ipi hasa bendera ya Zanzibar kati ya hizi naona kanchi kilikuwa kinabadilisha bendera kama shati!!

View attachment 2287

View attachment 2288

View attachment 2289

View attachment 2290

View attachment 2291

Mwaka jana nilikuwa na thread inajadili bendera zetu kuanzia katikati ya miaka ya 1800. Sikumbuki hiyo thread iko wapi. Ila ukweli ni kuwa Zanzibar iliwahi kutumia bendera kadhaa katika vipindi tofauti kulingana na utawala. Katika hizo bendera tano ulizoweka hapo juu, ile ya kwanza ndiyo iliyokuwa inatumiwa na serikali ya Shamte baada ya Uhuru chini ya Sultani, inayofuata ilitumiwa na serikali ya mapinduzi lakini ilibadilishwa baada ya muda mfupi tu na kuachia ile ya ASP (bila shoka) kuendelea kama ya serikali. Mara tu baada ya mapinduzi, ambapo vurugu nyingi zilikuwa kwenye kisiwa cha Unguja, kisiwa Pemba kilitangaza kujitenga na kuanzisha Jamhuri ya Pemba. Hiyo bendera ya tatu ndiyo ilikuwa ya hiyo Jamhuri mpya ya Pemba, lakini haikudumu hata wiki moja ikawa imezimwa.

Hiyo ya nne na ya tano ni mpya za miaka ya hivi karibuni tu. Moja ni ya rais wa Zanzibar na nyingine ya serikali ya mapinduzi ya Zanzibar.

Bendera nyingine zilizowahi kutukia huko Zanzibar ni hizi zifuatazo hapa chini

om-old.gif

tz-zzrs.gif

800px-flag_of_the_sultanate_of_zanzibar_svg.jpg

tz-za64b.gif
 
lamba,tunaomba ufafanuzi kidogo,yaani hiyo SPACE STATION,shuguli yake ilikuwa nini hasa?
 
hivi tujiulize .......kama mkoloni kweli alikuwa na mabaya matupu kwa zanzibar na haku invest kwenye elimu

hawa viongozi, au watu wenye umri wa miaka 60 kule zanzibar walisoma wapi, lini, kwa pesa za nani?
ukiangalia zanzibar walosoma wengi ni watu weusi, au wenye damu ya kuchanganya.....jee hawa walisoma soma vipi?

na viwango vya elimu vya wakati ule na baada ya mapinduzi , vipi vilikuwa bora?

hospitali za wakati ule na za sasa zipi zilikuwa bora? ......na watu walilipa vipi?

naomba kuuliza kwa mwenye kujua kwa uhakika .......1964 zanzibar kulikuwa na watumwa??
 
Back
Top Bottom