Makaayamawe
JF-Expert Member
- Feb 21, 2009
- 341
- 9
Mkuu FMES,
12 November 2008 ulibandika ujumbe huu,
Sasa leo baada ya huyu mzee kutuchezea akili umeamua kumleta kwa picha sijui ni ili tumuone umuhimu wake.
Kwa kweli nimeshindwa kuelewa kwa nini umeifungua hii thread tena kwa kubandika picha ya mtu ambaye tumeshamuona kuwa ni MNAFIKI.
Kama uliamua kuifunga hii thread, well and good, tusubiri kitabu, lakini kama unataka kuongeza picha, basi tuletee za watu tunaowaheshimu maana Malecela heshima yake kwetu imepungua sana.
I would rather see picha ya Chakubanga than of another selfish individual. Kama unabisha kuwa huyu hatumthamini tena, jaribu kura za maoni humu JF uone matokeo yake.
12 November 2008 ulibandika ujumbe huu,
Wakuu wote heshima mbele, naomba kusema kwamba sasa tumefikia mwisho wa hii thread, na mipango yote ya kuigeuza hii thread into a book imeshafikia 80% tayari, sasa tunasibiri estimate ya gharama za kukitengeneza kitabu chenyewe na kuwasiliana na wahusika wote muhimu, ikiwa ni pamoja na Mkulu Max.
Sasa leo baada ya huyu mzee kutuchezea akili umeamua kumleta kwa picha sijui ni ili tumuone umuhimu wake.
Kwa kweli nimeshindwa kuelewa kwa nini umeifungua hii thread tena kwa kubandika picha ya mtu ambaye tumeshamuona kuwa ni MNAFIKI.
Kama uliamua kuifunga hii thread, well and good, tusubiri kitabu, lakini kama unataka kuongeza picha, basi tuletee za watu tunaowaheshimu maana Malecela heshima yake kwetu imepungua sana.
I would rather see picha ya Chakubanga than of another selfish individual. Kama unabisha kuwa huyu hatumthamini tena, jaribu kura za maoni humu JF uone matokeo yake.
![]()
- Haya wakuu kama tulivyoahidi jana, hii picha ni baada ya kusainiwa mkataba wa amani kati ya Tanzania na Uganda, mkataba ambao ulisimamiwa na the then Rais wa Somalia Maj. Gen Siad Barre, kati kati juu, na kusainiwa na mawaziri wa nje wa Uganda kushoto Bw. Kiwanuka na Waziri wa nje wa Tanzania DK. Malecela, kulia.
FMES!