William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
- Thread starter
- #1,101
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nayakumbuka.Hivi kuna wanaofahamu kuwa jiji la Dar liliwahi kuwa na mabasi ya double decker kama yale ya London? Mwenye picha tunaomba atutundikie hapa.
Katika kutembea tembea kwenye thread hii nimekutana nahiyo hapo juu(Red), nimeshikwa na kizunguzungu na nimeagiza daktari aje.Sijui kwa nini hali hiyo imenitokea.Tuwaenzi Viongozi wa Taifa letu
1) Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (RIP)
Mwanzilishi wa Taifa letu, alituunganisha Watanzania wote tukawa wamoja, sasa watanzania wengi hatuitani kwa makabila yetu bali tunaitana kwa utaifa wetu.
Aliwezesha Watanzania wote kuishi kwa Haki na Amani
Sisi Watanzania tulimpenda sana lakini Muumba wake/wetu alimpenda zaidi.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana libarikiwe. Amen
2) Mh. Alhaji Alli Hassan Mwinyi
Rais wa awamu ya pili wa Taifa letu.
Alipokea nchi ikiwa imedidimia kiuchumi.
Alikubaliana na masharti ya Shirika la fedha duniani pamoja na Benk ya Dunia.
Alituwezesha Watanzania Wengi (tusiokuwa na kitu) tukawa na fedha mfukoni.
Baadhi ya Wananchi waliacha kazi Serikalini, wakawa wafanya biashara, maana ilionekana kuwa kazi za serikalini hazina mshahara wa kutosha maisha ya leo.
Alituanzishia "Ruksa".
Aliendeleza utawala wa Haki na Amani.
3) Mh. Benjamen William Mkapa
Rais wa Awamu ya tatu ya Taifa letu.
Aliwezesha "Wasomi" kutambulika.
Aliwezesha Wasomi wengi kupata kazi
Aliwezesha Uchumi kukua hadi 9%
Aliwezesha Watanzania kutambulika nje ya nchi.
Aliendeleza Utawala wa Haki na Amani.
4) Mh. Jakaya Mrisho Kikwete
Rais wetu wa Awamu ya Nne ambayo ipo madarakani
Anaendeleza Utawala wa Haki na Amani
Ni Rais makini kuliko wote Afrika
Ni Rais anayewezesha Uchumi wa Nchi yetu kukua kwa kasi.
Ninamuomba Mungu amjalie ili atuongoze hadi mwaka 2015.
Mwalimu you're simply the best, better than all rest the better than anyone. Thanks for your dedication, ethics and love to our beloved country. We wish we had another Mwalimu. Rest in peace Baba yetu wa taifa.
Umetuachia wezi, wala rushwa wanafiki wanaopenda kujilimbikizia mali na kuweka maslahi yao mbele badala ya yale ya Taifa. We wish you were still here with us. Rest in peace our beloved leader and we will always love you.
http://www.youtube.com/watch?v=fM1ujosaDTE
Baadae inaweza kubakia historia hii mada, naongezea hii pia:
![]()
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Msumbiji nchini, Zacarias Kupela , ofisini kwake kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Juni 5, 2009.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Nasubiri Comments za NN(Joke)
Mar. 13, 1964
![]()
![]()
- saafi sana, mimi sikujua kwamba mwalimu aliwahi kutokea huku kwenye times tena longtime ago, kwa kweli aliheshimiwa sana na dunia maana tunaolijua vizuri hilo gazeti la times, enzi hizo mpaka kumtoa ukurasa wa mbele mweusi wa africa, kwa kweli ni wasup!
respect.
fmes!
![]()
RAISI KIPENZI WA WATANZANIA NA NI RAISI WA WANYONGE.