Tukumbushane dawa za zamani, naanza na chloroquine

Curl kit au katiliki, dawa ya nywele ziwe na mawimbi mawimbi.
 
Yolanda ya mkebe,YU,cobra perfume,vicks ,lifebouy,rexona,gardenia,revola

Sulphur,mbuni ,mbunju,kosoma,ariel ya unga,foma,
 
Kuna dawa moja ya majani ilikuwa inatwangwa then inawekewa tumaji kidogo halafu wanakumiminia puani na kijiko
Sikilizia sasa chafya zake lazima upone unachoumwa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Umenikumbusha mbali sana.
 
Salimia, giv (sijui kama kweli inaandikwa hivyo ila ilikuwa noma) na cofta
 
Aisee, hii sindano nilihisi mateso kwa muda. Nilitembea nachechemea kama mguu mmoja mrefu mmoja mfupi.
Nilikuwavumilivu wa sindano ila hii mama aliappreciate maumivu nilio kuwa na pata maana kipindi hicho sindano za kawaida nilkkuw najngia mwenyewe kwenye chumba cha sindano unaona watu wazima wanachonea sindano za kawaida wanalalama lakini mimi nilikuw na dunda hadi ma nezi wananisifia ila kwa kristapeni sikuwahi kuwa gangwe kunasikua mama alilia na mimi but ithink u understand the real situation
 

Mkuu acha, kristapen ilikuwa mwisho wa matatizo. Na sidhani kama kuna sindano inayofanana ukali na hii.
 
[emoji38] inatuliza homa kali pamoja na flu mara moja.. nilikuwa nakapenda kawimbo ila dawa sasa....!
Dah..nimemkumbuka mwalimu wangu wa chekechea...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…