Machunguuuu!! Hovyo kabsa, unalazimishwa meza!!meza!! Na ukitema tu utaona kipondo chake, au unayameza yanakwama kooni na maji tayari yashaisha kwenye kikombe,!![emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Mlemle mkuu, dokta anakuwekea kidude kifuani, hapo unasali maake uamzi ukitoka unatakiwa masindano jasho jembamba linakutoka huku nesi/ dokta ana tikisa kichupa na sindano iko mezani!! DaaaaahhhDah...hizi dawa kabla hata hujameza (kile kiharufu tu) unapata kichefuchefu! Na baada ya siku mbili unaaza kuwashwa🙁🙁
BTW, nimekumbuka pia zamani dispensary nyingi (hasa vijijini) hawakuwa na kipimo cha malaria (walikuwa hawapimi damu kama sasa). Nakumbuka sanasana walikuwa wanapima joto tu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Machunguuuu!! Hovyo kabsa, unalazimishwa meza!!meza!! Na ukitema tu utaona kipondo chake, au unayameza yanakwama kooni na maji tayari yashaisha kwenye kikombe,!![emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]