kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Yanga hawana budi kumshuru Sana mh. Makonda mkuu wa mkoa wa DSM Kwa kuwapatia eneo zuri na kubwa la kujenga uwanja wao. Eneo hili ni zuri, kubwa na lililoko mjini. Bila shaka eneo hili halikubaki kama lilivyo Kwa bahati mbaya Tu, bila shaka lilikuwa la mtu au lilibakizwa kwaajili ya matumizi maalumu ya kijamii, kiserikali au kibiashara.
Swali langu ni eneo hili kabla ya kupewa Yanga lilikuwa la nani na Kwa matumizi gani?
Swali langu ni eneo hili kabla ya kupewa Yanga lilikuwa la nani na Kwa matumizi gani?