Tukumbushane hapa ni Jina Gani la Mtu ambalo ulishawahi kukutana nalo likakushangaza

Labda atakuwa ni huyo huyo .
Alikwenda Kilwa Road kumzamini nwenzie Manyasi Matete polisi walikataa mpaka alipokuja askari kutoka Musoma .Aliwaeleza kuwa hayo ni majina ya kweli.
 
Kukutia Ole Pumbuni kwa waliosoma sheria watakuwa wanailifahamu hili jina
 
Mkundukuwaka Ngongoseke yupo Shinyanga
 
Ndimu na dafu
alafu na ile avatar yake ilivyokaa huwa nacheka nikiangalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…