Tukumbushane hapa ni Jina Gani la Mtu ambalo ulishawahi kukutana nalo likakushangaza

Tukumbushane hapa ni Jina Gani la Mtu ambalo ulishawahi kukutana nalo likakushangaza

669c377e739f0af94901f4f28ab39e5b.jpg

Hizo namba za kitambulisho tayari mafisi ccm washazifanyia kazi kura ya mtulia hiyo dadeki
 
Labda atakuwa ni huyo huyo .
Alikwenda Kilwa Road kumzamini nwenzie Manyasi Matete polisi walikataa mpaka alipokuja askari kutoka Musoma .Aliwaeleza kuwa hayo ni majina ya kweli.
 
Kukutia Ole Pumbuni kwa waliosoma sheria watakuwa wanailifahamu hili jina
 
Ndimu na dafu
alafu na ile avatar yake ilivyokaa huwa nacheka nikiangalia
 
Back
Top Bottom