Tukumbushane hapa ni Jina Gani la Mtu ambalo ulishawahi kukutana nalo likakushangaza

Tukumbushane hapa ni Jina Gani la Mtu ambalo ulishawahi kukutana nalo likakushangaza

Katule kanyau
Libinza mite
Mabhele makubhi
George malatu
Sungura mjanja
Tulukampele
Tulubhuza
Mwezarubi
 
Maholela shinyanga, liku malangu, zungusha mauno na kende makumi.
 
Shilangonga budond, makankasha c.kamando, chamchana kisanfu, tuntufye mwakagamba
 
Kuna huyu jamaa alikuwa anata kuja kuwa balozi wa Tz toka Zambia bwana MUSENGE MUKAMA.
 
Bughat ya Samwel Etto.
Nilikuwa Paris.
Alikuwa anaingia supermarket na mkewe.
 
Back
Top Bottom