Kuna siku ticha wa hesabu kafundisha hadi mwisho watu hawaelewi parabola zile, mwisho katokea njema mmoja akamuuliza sasa ticha hiyo miye ntautumia wapi maishani kwangu. Ticha akafunga darasa kwa kicheko akasema tuonane kesho jamani siyo lazima muelewe.