Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"kuna wakati najisahau uwanjani na kusimama kumuangalia (jina limehifadhiwa) akicheza" - maneno haya yalitamkwa na mchezaji mmoja wa kilabu maarufu sana duniani kuhusu mchezaji mwenzake
Ronaldinho can win a man of the match without touching the ball and without being in filed...kauli hiyo ilitolewa na Adriano Galiani makamu mwenyekiti wa AC Milan mara baada ya kufanikiwa kumsajili Dinho the Saint

Kwa matangazo zaidi.Ronaldinho can win a man of the match without touching the ball and without being in filed...kauli hiyo ilitolewa na Adriano Galiani makamu mwenyekiti wa AC Milan mara baada ya kufanikiwa kumsajili Dinho the Saint
Tuache kuandikia mate ilhali wino upo, hebu msikilizeni hapa Zizzou akiongelea na kuyaonyesha manjonjo ya Ronaldo wa ukweli (sio maronaldo feki Christiano na Ronaldinho): Zidane & Ronaldo talk about each other ! ! ! [HD] - YouTube