Companero acha kuchuma dhambi ijumaa mapema hivi...
Wewe chuki yako kwa Gaucho iwe ni ya kimoyomoyo na si ya kuianika hadharani.
Wachambuzi wa kimataifa wa Maswala ya Soka walitanabaisha kuwa ''kama mpira ungekuwa na mdomo basi kila Dakika ungesema upelekwe kwa Gaucho ili walio Mbinguni wafurahi na walio Duniani pia.
Wacha kumdhalilisha Saint Gaucho wewee.
Nakumbuka kombe la dunia. Sikumbuki ni france or korea & japan! Half time ujerumani walikuwa nyuma ya bao moja... Ricky abdallah maarufu kama Dr ricky! Alimwambia michuzi nadhani! "Ujerumani ni paka mwenye roho saba!" Akamtajia sub zitakazofanyika jamaa wakafanya sub! Ngozi ikapigwa maridadi sana! Toka siku hiyo na respect sana mjerumani
Heshima mbele wakuu...
Katika thread hii tutapata kukumbushana kauli zilizowahi kutolewa na wanamichezo Duniani kote.
Kila mtu kwa kumbukumbu yake anafulsa ya kubandika Quotes iliyowahi kumfurahisha ama kumchukiza katika medani ya Michezo...
Pia ni ruhsa kuelezea kauli hiyo ilitolewa lini ama kwa tukio lipi...
BISMILLAH...
"unaweza kwenda popote unapotaka kwenda duniani lakini huwezi kupata mchezaji anayefunga magoli kihivyo" - sir bobby robson, baada ya kushika kichwa kwa mastaajabu, aliposhuhudia goli hili tamu la ronaldo wa ukweli (o fenomeno): 15th anniversary since Ronaldo's goal in Compostela 12.10.2011 - YouTube
Tatizo wachezaji wa yanga muda mwingi wanajipodoa kocha wa yanga sentiife tom..