Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,680
kwani hapa mnajadili kauli jinsia.Kaka umeniwahi...
Nimeamua kuupandisha huu uzi baada ya kujiaminisha kuwa kwa muda uliopita, tayari kuna quotes nyingi zimetolewa na wanamichezo.bado naipenda quote ya rais wa Palemo. I spent 10m to suck couches
Nimeamua kuupandisha huu uzi baada ya kujiaminisha kuwa kwa muda uliopita, tayari kuna quotes nyingi zimetolewa na wanamichezo.bado naipenda quote ya rais wa Palemo. I spent 10m to suck couches
Hahahaaa"..... Usiniite Muhidin, naweza kuwa nalingana umri na baba yako...."
Ndolanga akimwambia M. Kitenge asimuite kwa kutumia jina lake la kwanza(Muhidin)
Huu uzi umepanda tena!. Sichokagi kuusoma. Napenda alichopata kusema Maurizio Zamparini mmiliki wa club ya palermo ya nchini italia. I spent more than 10m$ for sacking coachers!
Cc. Gang Chomba